mbingunikwetu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 13,897
- 18,477
Duuu,"Mchambuzi" wa soka Kumwembe ambaye hana historia ya kucheza soka kwa kiwango hata cha kati alisema: "Hata kama Simba itashinda goli 3-0 hapa kwa Mkapa, bado haitoweza kusonga mbele!! Naamini hiyo kauli hatokuja kuirudia tena maana zama za kupigwa nyingi tumezizika rasmi na jumla!!
Sisi huwa hatutukani maana wazazi wetu hawakuwa wanatutukana!! Anayetukana ni dalili kuwa alijifunza tabia hiyo kwa kuwa na yeye alikuwa anatukanwa!!Mngeshinda bas kutwa mngekesha kumtukana Edo kumwembe
Kwenye mchezo wa mpira wa miguu huwezi kifikia hitimisho kama hilo!!timu ngapi kubwa huko duniani huwa zinapigwa hata tano?!!inategemea tu na mchezo wa siku hiyo umejichanganya vipi unapigwa!!kwani umesonga mbele?!!"Mchambuzi" wa soka Kumwembe ambaye hana historia ya kucheza soka kwa kiwango hata cha kati alisema: "Hata kama Simba itashinda goli 3-0 hapa kwa Mkapa, bado haitoweza kusonga mbele!! Naamini hiyo kauli hatokuja kuirudia tena maana zama za kupigwa nyingi tumezizika rasmi na jumla!!
Kwani wewe ulimfunga ngapi hapo kwa mkapa mpaka utake yeye akufunge nyingi!? Timu imekaa nyuma ya mpira ikiwa imepaki kontena la mapembelo cargo alafu ulitegemea mfungwe goli ngapi?"Mchambuzi" wa soka Kumwembe ambaye hana historia ya kucheza soka kwa kiwango hata cha kati alisema: "Hata kama Simba itashinda goli 3-0 hapa kwa Mkapa, bado haitoweza kusonga mbele!! Naamini hiyo kauli hatokuja kuirudia tena maana zama za kupigwa nyingi tumezizika rasmi na jumla!!
Mlipokuwa mnadai simba atakula nyingi mlikuwa mnatumia kigezo kipi?Kwani wewe ulimfunga ngapi hapo kwa mkapa mpaka utake yeye akufunge nyingi!? Timu imekaa nyuma ya mpira ikiwa imepaki kontena la mapembelo cargo alafu ulitegemea mfungwe goli ngapi?
Wydad ni bovu simba ilishindwa kuchanga karata zake vema waliingia hofu ambayo haukuwepo, pale kwa Mkapa angempinga hata mbili simba wangesonga mbele"Mchambuzi" wa soka Kumwembe ambaye hana historia ya kucheza soka kwa kiwango hata cha kati alisema: "Hata kama Simba itashinda goli 3-0 hapa kwa Mkapa, bado haitoweza kusonga mbele!! Naamini hiyo kauli hatokuja kuirudia tena maana zama za kupigwa nyingi tumezizika rasmi na jumla!!
Huwezi kusema umezizika zama wakati timu zinatofautiana, game plan zinatofautiana pia. Kabla ya mechi ya Wydad, Simba ametoka kufungwa jumla ya magoli 6 dhidi ya Raja"Mchambuzi" wa soka Kumwembe ambaye hana historia ya kucheza soka kwa kiwango hata cha kati alisema: "Hata kama Simba itashinda goli 3-0 hapa kwa Mkapa, bado haitoweza kusonga mbele!! Naamini hiyo kauli hatokuja kuirudia tena maana zama za kupigwa nyingi tumezizika rasmi na jumla!!