Zama za Mayele Yanga zimekwisha, wachambuzi fungeni huo ukurasa wake

Zama za Mayele Yanga zimekwisha, wachambuzi fungeni huo ukurasa wake

Tanzania hakuna wachambuzi wa mpira bali kuna washabiki wa timu wanaotoa maoni na mpenzi ya timu zao kwa mwavuli wa uchambuzi. Majuzi nilisikiliza radio tano tofauti wanazungumzia juu ya jezi namba 20 ya Simba wanatumia zaidi ya saa nzima kuijadili jezi hiyo.
Mimi nimewasoma sana, hakuna wachambuzi bali kuna washabiki wa timu ambao wamepata nafasi ya kuzungumza kwenye redio kutetea na kusifu timu zao wanazozipenda kwakuwa wanacho kisemeo. Mtu anaezunguzumzia mpira huwa ninampenda sana hata kama inaisema timu yangu kwakuwa ukweli ni ukweli hata kama ukiukataa, lakini tuna wachambuzi wengi (sio wote kabisa) ambao wanafanyakazi ya afisa habari wa timu kwenye chombo cha habari cha mtu.
 
Umemaliza yote.
 
Hivi zile Goli Mbili Bila za Inonga na Kibu de.

Golikipa wa Simba alikuwa nani ?

Acheni dharau kwa Wazawa.

Ally Salimu.
Huko uliko jifue sana
Hakuna aliyezaliwa Golikipa ni Bidii ya Mazoezi tu
zile goli za kubahatisha za inonga na kibu ndizo zilizoigharimu Simba baada ya mechi ile. Simba walikiamini kikosi kilekile kilichoifunga timu bora kwenye ligi na Afrika hivyo ikiwa ndicho kipimo chao cha first 11, hawakutaka kumbadilisha hata mchezaji mmoja kutoka kikosi kile, hadi wakafikia kusema "No manula no problem" lakini wakakiona cha mtema kuni kwenye ligi, kombe la Azam na CAF. Hawakuambulia hata jagi la kunywea mbege.
 
Back
Top Bottom