Zamani ilikua hatuwezi kutengeneza hii....sasa sijui kama wakati huu wa viwanda tunaweza tengeneza hii kitu.

Tumepoteza kiwanda tayari toka zamani..
 
Namuomba mkulu akazindue kiwanda cha mama kijijini,amefungua kiwanda cha pombe aina ya flasher,ni mixer komoni na ile nyingine inayopigwa vita aka chingili...ni nzuri sana kwakweli.
Pabaya panakwita mkuu.....ukiitika tu bs wamekudaka

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
 
hahahahaaa ukawa umeshavimba kichwa baada ya kugundua unabegi special shule nzima

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] we jamaa bhana umenichekesha sana....ko kuokota bazoka ya chini kuna umjini na ukijijini kweli hapo??

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
 
ww mtu mungu anakuona nakumbuka home tulikuwa wakishua sasa mm nilikuwa napenda kuishi maisha pori siku moja nikaenda lokoteza maindi kwenye shamba la shule flani hivi ya private na machali wa mtaani kumbe mzee siku hio alibadili gari si akapita akaniona usiku kufika home nilipigwa kipigo ya mbwa mwezi
 
Sie ndio ilikua zetu mkubwa. Tena home wakikaa vibaya unawachenjua unapiga makopo kadhaa ya mahindi unachanganya na yako unaingia black market unauza unasunda mpunga kibindoni...I miss those days
 
Sam nini lakini[emoji23][emoji23]
Kwani kumiliki hiyo kitu ilikuwa anasa?
 
Sie ndio ilikua zetu mkubwa. Tena home wakikaa vibaya unawachenjua unapiga makopo kadhaa ya mahindi unachanganya na yako unaingia black market unauza unasunda mpunga kibindoni...I miss those days
Kumbe u bad boy umeanza kitambo eeh??
 
Alafu zilikuwa ngumu sio sasa hivi zinayeyuka kwenye meno ukitafuna (ila mdau tegemea kuulizwa bazoka ni nini)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…