The Monk
Platinum Member
- Oct 12, 2012
- 20,242
- 45,930
Siku hizi wameongeza na saloon eti ni viwanda
Hadi majiko ya kupikia yatakua viwanda tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siku hizi wameongeza na saloon eti ni viwanda
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Hadi majiko y akupikia yatakua viwanda tu.
Tumepoteza kiwanda tayari toka zamani..Daah! Umenikumbusha mbali,
Nakumbuka vilikuwa vinauzwa mia tano, ila nikawa naogopa kumwambia Bi mkubwa aninunulie na mimi nikatambe,
Kwa kuwa mwenyewe ninaubunifu nikanunua mfuko wa Nailoni ile migumu yenye mistari myekundu na myeupe, nikakata juu kuondoa ile sehemu ya kushikia kisha nikachukua sindano na uzi nikapiga Pindo,
Baada ya hapo nikafumua kiroba nikachukua zile kamba zake kisha nikasokota,
Nikapitisha kwenye lile pindo kisha nikatoboa kwa chini then nikafunga,kwa hiyo ikawa ukivuta zile kamba palle juu panafunga kama ile ya kichina
Sasa na mimi nikawa na Sport Made by mi mwenyewe kufika shule nikafunika vibaya sana, yaani shule nzima nikawa na Sport ya kipekee,
Mvua ikinyesha sasa, mi sina wasi wasi na madaftari kuloa napuyanga kama kawa, wao wenye Visport vyao vya kununua ikawa wanasubiri mvua ikatike,
Bi mkubwa mwenyewe alinipigia saluti,
Akaniambia tu, huo ukiisha ntakununulia Bag, mi sikuwa na mpango wa Bag, ukiisha natengeneza mwingine
Daah! Yaani nilikuwa mbunifu kweli kweli
hahahahaa bs daftar zilikua zinajikunja kinoma na ukawa hata hujaliDah!umenikumbusha mbali mkuu,nilikuwa nacho kimfuko cha hivyo chekundu[emoji23]
Pabaya panakwita mkuu.....ukiitika tu bs wamekudakaNamuomba mkulu akazindue kiwanda cha mama kijijini,amefungua kiwanda cha pombe aina ya flasher,ni mixer komoni na ile nyingine inayopigwa vita aka chingili...ni nzuri sana kwakweli.
hahahahaaa ukawa umeshavimba kichwa baada ya kugundua unabegi special shule nzimaDaah! Umenikumbusha mbali,
Nakumbuka vilikuwa vinauzwa mia tano, ila nikawa naogopa kumwambia Bi mkubwa aninunulie na mimi nikatambe,
Kwa kuwa mwenyewe ninaubunifu nikanunua mfuko wa Nailoni ile migumu yenye mistari myekundu na myeupe, nikakata juu kuondoa ile sehemu ya kushikia kisha nikachukua sindano na uzi nikapiga Pindo,
Baada ya hapo nikafumua kiroba nikachukua zile kamba zake kisha nikasokota,
Nikapitisha kwenye lile pindo kisha nikatoboa kwa chini then nikafunga,kwa hiyo ikawa ukivuta zile kamba palle juu panafunga kama ile ya kichina
Sasa na mimi nikawa na Sport Made by mi mwenyewe kufika shule nikafunika vibaya sana, yaani shule nzima nikawa na Sport ya kipekee,
Mvua ikinyesha sasa, mi sina wasi wasi na madaftari kuloa napuyanga kama kawa, wao wenye Visport vyao vya kununua ikawa wanasubiri mvua ikatike,
Bi mkubwa mwenyewe alinipigia saluti,
Akaniambia tu, huo ukiisha ntakununulia Bag, mi sikuwa na mpango wa Bag, ukiisha natengeneza mwingine
Daah! Yaani nilikuwa mbunifu kweli kweli
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] we jamaa bhana umenichekesha sana....ko kuokota bazoka ya chini kuna umjini na ukijijini kweli hapo??Watoto wa geti kali utawajua tu. Yaani enzi hizo sie bazoka ikitemwa unaiokota unapangusa mchanga unaendeleza ku show game. Nyie tayari mlikua mnamiliki vitu vya anasa kiasi hicho?
Kwanza kijijini ndani ndani huko ukiokoteza mahindibaada ya watu kuvuna ndio unaenda kununua kandambili za bora, unazivaa jumapili tu, ukirudi unazisuuza unazisunda uvunguniiii zisije kuibiwa hapo ni hadi okesheni nyingine.
wanatuzngua kinyama yn.....hawaelew maana ya neno "kiwanda"Siku hizi wameongeza na saloon eti ni viwanda
[emoji23][emoji23]Tumepoteza kiwanda tayari toka zamani..
Acha kabisahahahahaaa ukawa umeshavimba kichwa baada ya kugundua unabegi special shule nzima
Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
Aha ha haaa!Tumepoteza kiwanda tayari toka zamani..
Kwanza njiani tu kila mtu ananitazama mimihahahahaaa ukawa umeshavimba kichwa baada ya kugundua unabegi special shule nzima
Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
ww mtu mungu anakuona nakumbuka home tulikuwa wakishua sasa mm nilikuwa napenda kuishi maisha pori siku moja nikaenda lokoteza maindi kwenye shamba la shule flani hivi ya private na machali wa mtaani kumbe mzee siku hio alibadili gari si akapita akaniona usiku kufika home nilipigwa kipigo ya mbwa mweziWatoto wa geti kali utawajua tu. Yaani enzi hizo sie bazoka ikitemwa unaiokota unapangusa mchanga unaendeleza ku show game. Nyie tayari mlikua mnamiliki vitu vya anasa kiasi hicho?
Kwanza kijijini ndani ndani huko ukiokoteza mahindibaada ya watu kuvuna ndio unaenda kununua kandambili za bora, unazivaa jumapili tu, ukirudi unazisuuza unazisunda uvunguniiii zisije kuibiwa hapo ni hadi okesheni nyingine.
ww mtu mungu anakuona nakumbuka home tulikuwa wakishua sasa mm nilikuwa napenda kuishi maisha pori siku moja nikaenda lokoteza maindi kwenye shamba la shule flani hivi ya private na machali wa mtaani kumbe mzee siku hio alibadili gari si akapita akaniona usiku kufika home nilipigwa kipigo ya mbwa mwezi
Sam nini lakini[emoji23][emoji23]Watoto wa geti kali utawajua tu. Yaani enzi hizo sie bazoka ikitemwa unaiokota unapangusa mchanga unaendeleza ku show game. Nyie tayari mlikua mnamiliki vitu vya anasa kiasi hicho?
Kwanza kijijini ndani ndani huko ukiokoteza mahindibaada ya watu kuvuna ndio unaenda kununua kandambili za bora, unazivaa jumapili tu, ukirudi unazisuuza unazisunda uvunguniiii zisije kuibiwa hapo ni hadi okesheni nyingine.
Hapo unachojali ni kuwa na hako ka mfuko tu,daftari utazinyoosha darasani [emoji23][emoji23]hahahahaa bs daftar zilikua zinajikunja kinoma na ukawa hata hujali
Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
Kumbe u bad boy umeanza kitambo eeh??Sie ndio ilikua zetu mkubwa. Tena home wakikaa vibaya unawachenjua unapiga makopo kadhaa ya mahindi unachanganya na yako unaingia black market unauza unasunda mpunga kibindoni...I miss those days
Alafu zilikuwa ngumu sio sasa hivi zinayeyuka kwenye meno ukitafuna (ila mdau tegemea kuulizwa bazoka ni nini)Watoto wa geti kali utawajua tu. Yaani enzi hizo sie bazoka ikitemwa unaiokota unapangusa mchanga unaendeleza ku show game. Nyie tayari mlikua mnamiliki vitu vya anasa kiasi hicho?