Zamani ilikua hatuwezi kutengeneza hii....sasa sijui kama wakati huu wa viwanda tunaweza tengeneza hii kitu.

Kiwango cha juu sana yaani acha kabisa...siku hizi kila kitu ovyo, those days kama utakunywa soda let say Coca yaani unai-feel kabisa mdomoni na puani ile gas flani na ladha flani bomba, hali kadhalika ukinywa fanta ile ladha ya orange unaisikia.....hapo bado hujanywa Orange squash (unaichanganya na maji).
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…