Zamani ilikuwa hivi CCM wakishirikiana na polisi kuzimisha mikutano ya vyama pinzani

Zamani ilikuwa hivi CCM wakishirikiana na polisi kuzimisha mikutano ya vyama pinzani

Fbn

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
15,749
Reaction score
37,420
Miaka ya nyuma watu wengi walikuwa wajashtuka kuwa hiki chama kilianza michezo ya uhalifu tokea zamani.

Kipindi cha kampeni kulikuwa kuna matokeo ya fujo na kuweka hofu watu wasiende kwenye mikutano ya vyama pinzani.

Ilikuwa hivi CCM ilikuwa ikiandaa vijana wenye silahaa za kawaida na kumjulisha mkuu wa kituo na polisi wote ambao wengine watavaa nguo za kiraia kuwaongoza.

Wakifa kwenye mkutano wanaanzisha vurugu na kupiga watu kisha polisi wanatokea na kuwakamata baada ya muda wanaachiwa na kurudi walipotokea maeneo yao sio hilo eneo.

Kwa sasa mmejionea live polisi walivyonogewa sasa kuwa ndio wapo front kabisa.
 
kwa kuwa sasa hakuna mikutano ya vyama vy siasa vya upinzani, hivyo wanafanya hivyo
 
Back
Top Bottom