Si kweli ila utoto umewazidi kama wa kuchapa viboko, Good God!
Sure wazee kwenye uongonzi wametupiga gap Sana vijana ,uongonzi wetu ni wamatukio,kutafuta sifa,hatuapply skill zozote kwenye uongoziEnzi zile nilikua napenda nione vijana wanawekwa kwenye vyeo vya ukuu wa wilaya/mkoa ana hata uwaziri, nilikua nikiamini vijana watasaidia pakubwa kusukuma maendeleo haraka nikipenda wazee wapishe vijana kwenue hizo nafasi...
Ukiangalia utofauti uliopo kati ya kunenge na makunda hapa dar utaona vijana hawawezi kufikisha popote . Makonda alikuwa anakurupuka na kutoa kila aina za viroja.Enzi zile nilikua napenda nione vijana wanawekwa kwenye vyeo vya ukuu wa wilaya/mkoa ana hata uwaziri, nilikua nikiamini vijana watasaidia pakubwa kusukuma maendeleo haraka nikipenda wazee wapishe vijana kwenue hizo nafasi...
sifa za kijinga zinawapoteza watu kama akina sabayaUkiangalia utofauti uliopo kati ya kunenge na makunda hapa dar utaona vijana hawawezi kufikisha popote . Makonda alikuwa anakurupuka na kutoa kila aina za viroja. Kunenge ametulia tulia na mambo yanakwenda poa kabisa. Kwenye msiba wa ruge makonda alikuwa kama muhuni fulani wakati wa kutoa mwili airport hadi clouds aibu tupu
Bahati mbaya vijana wanaopewa vyeo ni wale waliokulia maisha ya dhiki mno !Enzi zile nilikua napenda nione vijana wanawekwa kwenye vyeo vya ukuu wa wilaya/mkoa ana hata uwaziri, nilikua nikiamini vijana watasaidia pakubwa kusukuma maendeleo haraka nikipenda wazee wapishe vijana kwenue hizo nafasi...
Siyo vibaya kuwapa Vijana madaraka lakini Ujana pekee usiwe ndo sifa ya mtu kuajiriwa bali ujuzi, uwezo na uzoefu wa kazi husika ziwe ndo sifa muhimu.Enzi zile nilikua napenda nione vijana wanawekwa kwenye vyeo vya ukuu wa wilaya/mkoa ana hata uwaziri, nilikua nikiamini vijana watasaidia pakubwa kusukuma maendeleo haraka nikipenda wazee wapishe vijana kwenue hizo nafasi....
Tatizo ni chama husikaEnzi zile nilikua napenda nione vijana wanawekwa kwenye vyeo vya ukuu wa wilaya/mkoa ana hata uwaziri, nilikua nikiamini vijana watasaidia pakubwa kusukuma maendeleo haraka nikipenda wazee wapishe vijana kwenue hizo nafasi...
Nionyeshe mzee mwenye Vision so far na amefanya nini?Enzi zile nilikua napenda nione vijana wanawekwa kwenye vyeo vya ukuu wa wilaya/mkoa ana hata uwaziri, nilikua nikiamini vijana watasaidia pakubwa kusukuma maendeleo haraka nikipenda wazee wapishe vijana kwenue hizo nafasi..
Yule aliyekuwa mkurugenzi wa jiji la Dodoma mbona nasikia kwao ni mambo safi sana, lakini pale Dodoma alikuwa anafanya upuuzi mtupu.Bahati mbaya vijana wanaopewa vyeo ni wale waliokulia maisha ya dhiki mno !
Hata huku kwetu kwenye chama kikuu cha upingaji wazee waling'atuka wakatuachia kijana, pamoja na kupata ruzuku za mabilioni, kwa karibu miaka 20 sasa ya uongozi wake lakini hakuna hata kiwanja cha kujenga kiofisi cha makao makuu 😢VIJANA WA CCM NI AIBU KWA TAIFA...