Zamani nilivyokuwa Mjinga!

Zamani nilivyokuwa Mjinga!

sitakaa nisahau enzi hizo utoto akili yote ilijaa mapicha/movie, kwenye pepa moja kulikua na maswali ya kuandika kinyume mf, nene-nyembamba, kuna swali tukaambiwa kinyume cha adui nikajibu stelingi.
hahahahahahahahaaaa...!
umenikumbusha shuleni.
nilikua mdogo kuliko wote darasani ila nilikua mtundu sana. akili pia hazikua haba saaaana.
siku moja niko dawati la nyuma kabisa mwalim wa kiswaz anaendelea kufundisha me na mwanangu GP (RIP) tUnapiga
story. mara tcha akanistukiza....."tasi...mapenzi ni nini?" sasa mie kwa kukumbuka maneno ya mtaani mara mapenzi kidonda, mara mapenzi kikohozi, mara mapenzi nika uginjwa hayafichiki.....nikajibu "mapenzi ni kizunguzungu"
darsa looote kicheko......maskini mwalimu machungwa wala hakunichapa nae akashangaatu.
 
Sasa, sawa tumeona ujinga wenu toka mko wadogo!
Sasa mko watu wazima, mmeuondoaje huo ujinga wenu kutokana na vitu ambavyo mlikuwa mnawaza?!
 
hahahahahahahahaaaa...!
umenikumbusha shuleni.
nilikua mdogo kuliko wote darasani ila nilikua mtundu sana. akili pia hazikua haba saaaana.
siku moja niko dawati la nyuma kabisa mwalim wa kiswaz anaendelea kufundisha me na mwanangu GP (RIP) tUnapiga
story. mara tcha akanistukiza....."tasi...mapenzi ni nini?" sasa mie kwa kukumbuka maneno ya mtaani mara mapenzi kidonda, mara mapenzi kikohozi, mara mapenzi nika uginjwa hayafichiki.....nikajibu "mapenzi ni kizunguzungu"
darsa looote kicheko......maskini mwalimu machungwa wala hakunichapa nae akashangaatu.

Wewe utakua ulikulia maeneo ya mburahati, manzese, uzuri, tandale, tandika, temeke na yanayofanania maana huko taarabu na bendi ndio nyumbani kwao, mtoto anajua vikorombwezo kama hivo kuliko hata sala au masomo.
 
Sasa, sawa tumeona ujinga wenu toka mko wadogo!
Sasa mko watu wazima, mmeuondoaje huo ujinga wenu kutokana na vitu ambavyo mlikuwa mnawaza?!

Waulize kwanza ccm wameuondoaje ujinga wao maana mpaka leo wanafikiri watanzania ni mazumbukumbuku wa kuwadanganya kwa wali na vitenge.
 
Mimi nilivyokuwa mdogo nilikuwa ninaamin kuwa wakubwa (wa2 wazima) hawatoi ushuzi a.k.a kujam**,.! Teh,.! Teh,.! Teh,.! kumbe zilikuwa akili za kitoto,! namshukuru Mungu angalau nimekua sasa,.!
 
Mimi nilivyokuwa mdogo nilikuwa ninaamin kuwa wakubwa (wa2 wazima) hawatoi ushuzi a.k.a kujam**,.! Teh,.! Teh,.! Teh,.! kumbe zilikuwa akili za kitoto,! namshukuru Mungu angalau nimekua sasa,.!

Hahaaa! Eti umekua!!
 
mimi nilikuwa najua kuwa mpira hurudiwa saa mbili kasorobo kwenye kipindi cha michezo enzi zile RTD pale wanaporudia matangazo ya mpira hasa kipindi mchezaji anapofunga goli.
 
Nilipokuwa naonja vitu vyoye vilivyokaangwa na mafuta vyote vinakuwa vitamu, Siku nikatumwa mafuta ya kula kwenye kikombe nilipofika njiani nikanya kama shavu moja hivi...... wacha niharishe
 
nikiwa std iv mwalimu aliyekuja shuleni kwetu kufanya majaribio kwa vitendo kutoka chuoni alikuwa anasoma insha na ktk mkato anasema koma,.....basi nikajikuta nimeweka neno koma sehemu zote alizotamka.....................

[TABLE="align: left"]
[TR]
[TD="align: left"]Mwalimu aliyekuja kufanya majaribio shuleni kwetu akitokea chuoni aliombwa kusimamia mtihani darasa letu STD II, maswali inabidi yaandikwe ubaoni, ticha akajichanganya kwenye swali la "Imla" akaandika paragraph zote badala ya kutusomea tuandike.
Basi darasa zima kimya kimya tukakonyezana na kuanza copy paste, ilibidi ticha wa somo aje kutuuliza ilikuwaje wote tukapatia hata wale wasiojua kuandika?
Sasa hapa nani alikuwa mjinga, mwalimu aliyeandika imla ubaoni badala ya kutusomea!
Au sisi tulioamua kukopi badala ya kumshtua ticha maana ya imla "kumbuka mwalimu anajua kila kitu".[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
 
nilipokuwa mdogo niliwahi kumuuliza mshua(dad) nilipoona pumb* (kumradhi) za ngombe, kiukweli aliniambia amebeba mawe nikamuuliza tena hachoki na haumii kuyabeba! akajibu ndiyo. akawa anafanya kama yupo bize hanisikilizi hivi. sikushtuka kitu chotchote, ila mpaka leo nakumbuka jibu lake. ha ha ha. dah!. nahshauri tukiwa kama wazazi tujifunze kutoa majibu sahihi kwa watoto wetu lakini kwa umakini.:juggle:
 
nilipokuwa chekechea, niliambiwa mungu yupo kila mahali hivyo basi nilikuwa natamani nimwone alivyo, ikawa nageuka kwa haraka nyuma yangu nikiamini kuwa atakuwa amejificha nyuma yangu nisimwone :bowl:
 
Nilipokuwa mdogo nilipenda sana kulala na dada zangu kuliko kaka zangu; na baba yangu mara kwa mara alinikataza na kunielekeza nikalale na kaka zangu.

Siku moja nikagadhabika nikamuuliza "baba kwanini unanikataza kulala na kina dada"? Baba alinijibu kwa kuwa ww ni mwanaume na wao ni wasichan kwahio sio vizuri kulala nao...
Nami nikwambia mbona wewe kila siku unalala na mama na wakati mama ni mwanamke?........
Hakika baba alikosa jibu............
 
mie nlivyokuwa mtoto nlikuwa nataman niwe mkubwa niwe na mtoto nkimnyonyesha na mie nnyonye! bt now hata cyataman tena dah..... kwel utoto!
 
Nakumbuka niliangalia katuni ya tom and jerry nikaona sehemu Tom ameruka na mwamvuli toka ghorofani akawa anashuka chini taratibuuu.... Nikacopy na kupaste... Nikaenda juu ya paa na kujiachia na mwamvuli... Nikaenjoy kwa sekunde chache tu ghafla mwamvuli ukabinuka... Hapo sasaaaa.... Nilifikia kiuno... Teh teh teh
 
Mi nilikua najua hata chooni mtu akipika hodi kama upo unaitikia karibu! Halalafu nilikua najua kama Mke/Mme wa mtu huwa "hawa gongwi/gonga" nje ya ndoa.
 
Nilikuwa naamini choo tumejengewa watoto kwani sikuwahi kumuona baba wala mama akienda chooni. Siku hizi watoto na watu wazima foleni chooni na wengine mnarusha mizinga hadi watoto wanasikia nje.
 
niliwahi kupasua kioo ili nipate kwa kuwa nilimwona mtu kama mimi kwenye kioo.
 
Back
Top Bottom