Zamani nilivyokuwa Mjinga!

Zamani nilivyokuwa Mjinga!

Mimi hadi leo najua Nyumbu nao ni wanachama wa chama cha siasa Tanzania
 
Mimi nilikua najua gari aina ya roli,gari baba yao,basi kubwa nama yao,basi dogo msichana ,gari ndogo mtoto wao.

Gari dogo likiwa mbele na kubwa nyuma yanafuatana barabarani ,najua baba/mama anamfukuza mtoto wake kuna makosa kayafanya na akimkamata ni fimbo tu.

HahahahahahahhahHaha
 
Mi nlivunja ungo nikiwa mdogo sana,sasa mama alinidanganya,nikisex tu,eti yeye atakufa,na nikicheza na wavulana ntapata mimba,na kila nkiingia mwezini nmwambie,nsipomwambia yeye atakufa,basi kwa ujinga wangu ,nikawa naogopa sana mama angu kufa,nikawa sichez na boys,kila mwez nampa maza ripot ya bleed hata nlipokua boding natafuta cm nimwambie,sex nlikua naiogopa had form five,baada ya hapo watu wakanifungua akili ,kumbe yote alonambia maza ni uongo tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bora hata alikuzuia mapema
 
Back
Top Bottom