Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtata sana huyo jamaa.
ukinywa maji ndiyo unaimwagilia... [emoji2] [emoji2]mi nilikuwa najua ukimeza mbegu inaota kichwani(hii ni baada ya kuona katuni fulani)
basi siku moja kutokana na kula ubuyu sana nikameza mbegu,niliangaika kinoma
[emoji1] [emoji1] [emoji1] japo wapomm mpaka jana nilikuwa najua rais ni tajiri kuliko wananchi wote.
Bora hata alikuzuia mapemaMi nlivunja ungo nikiwa mdogo sana,sasa mama alinidanganya,nikisex tu,eti yeye atakufa,na nikicheza na wavulana ntapata mimba,na kila nkiingia mwezini nmwambie,nsipomwambia yeye atakufa,basi kwa ujinga wangu ,nikawa naogopa sana mama angu kufa,nikawa sichez na boys,kila mwez nampa maza ripot ya bleed hata nlipokua boding natafuta cm nimwambie,sex nlikua naiogopa had form five,baada ya hapo watu wakanifungua akili ,kumbe yote alonambia maza ni uongo tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaaaa......mimi nilikuwa nadhani zile picha za ukutani sebuleni wazazi walikuwa wakiniona hivyo nilikuwa naogopa kudokoa chochote kilichopo sebuleni:becky:
Hahaaaa[emoji3] [emoji3]Mi nilikuwa najua ukitoka Tanzania, sehemu inayofuatia kwenye mji ni Kenya then kutoka hapo kuna bonge la msitu mpaka Ulaya