Zamani nilivyokuwa Mjinga!

Zamani nilivyokuwa Mjinga!

Nilipokuwa mdogo nilipenda sana kulala na dada zangu kuliko kaka zangu; na baba yangu mara kwa mara alinikataza na kunielekeza nikalale na kaka zangu.

Siku moja nikagadhabika nikamuuliza "baba kwanini unanikataza kulala na kina dada"? Baba alinijibu kwa kuwa ww ni mwanaume na wao ni wasichan kwahio sio vizuri kulala nao...
Nami nikwambia mbona wewe kila siku unalala na mama na wakati mama ni mwanamke?........
Hakika baba alikosa jibu............
Vp mkuuuu jibu umeshakipata mpaka sasa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mm mvua ikinyesha nilikuwa najua Mungu anafua nguo zake mbiguni sasa wakati wa kusuuza nguo akimwaga yale maji ndo nilikuwa najua Mungu juu anafua nguo mana nilikuwa namuona mama akifua nguo maji ya kusuzia umwaga..
 
mimi nilikuwa nadhani zile picha za ukutani sebuleni wazazi walikuwa wakiniona hivyo nilikuwa naogopa kudokoa chochote kilichopo sebuleni:becky:
Duh we mtu umenichekesha
 
Zamani nilijua watu wanao tumia kondomu wana maambukizi ya ukimwi nikipita nyumba nikikuta kondomu dampo nasema pale kuna mgonjwa wa ukimwi
 
Zamani nilivyokuwa mjinga, nilikuwa nikinunua Ice cream narudisha kopo[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]

Jamii Forums mobile app
 
Ooo you simple ones,understand prudence,and you fools, be of an understanding heart.
For my mouth will speak truth,wickedness is abomination to my lips,nothing crooked or pervese in my mouth.
Kwa hiyo umeona ukizungumza kiingereza tutalazimika kukubali una akili. Hapa Nairobi hata machokoraa wanakipiga mbaya.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mimi nilikuwa nadhani zile picha za ukutani sebuleni wazazi walikuwa wakiniona hivyo nilikuwa naogopa kudokoa chochote kilichopo sebuleni:becky:
Haaaaaaaa daaaa
 
Miaka 1997 ,'98 , '99 nilkuw napenda kuangalia movie za vita za kina Arnold, Eric Douglas, so nikawaga naona ma vifaru ya vita , one day mtaani lilikuja katapila kukwangua barabara dah nilipoliona niliogopa sana nikadhani vita imetokea yan nilikmbia nikaenda kujificha ndani , ..tumetoka mbali sana aisee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mi nilikuwa najua ukimeza mbegu inaota kichwani(hii ni baada ya kuona katuni fulani)
basi siku moja kutokana na kula ubuyu sana nikameza mbegu,niliangaika kinoma
 
Back
Top Bottom