Teh! Teh! Kali yangu ambayo mpaka leo najcheka nakumbuka nikiwa darasa 3
kwenye mtihani wa english maswal ya kujaza nafas zilizo waz sasa kuna swali lilinigonga nikashindwa kujb nijaza CHELEA APINA enzi hizo hilo neno ndo lipo kwenye midomo ya watu
Sasa hiyo 1;
2. Watu walikuwa wanasema kuwa umeme wa chooni unanguv kuliko wa tnsko sasa tunapeleka waya chooni tunadumbukiz kwa shimo hazgus mav* zinakuwa znaelea af tunaenda kusubir ndan na kuwasha glopu zile za toch enz hizo zinauzwa sh.50 lkn ilikuwa holaa
tunapeana moyo kuwa chaji bado haijafka baadae tukaambiwa sio kinyes cha choon bali mbolea ya ng'ombe
wacha tukayajaze vidumu vya lita 5 tunachanya na maji mixer mikojo yetu(ile ya asbh tuliokojoa usiku kweny makopo si tulikuwa tunaogopa kutoka nje)
tunachimbia nyuma ya chumba chako usawa wa dirisha safari hii tulikuwa tunaweka na betri ili kupata + na -
tukijua kuwa zitakuwa zina bustiwa na lile joto lkn was holaaa!
huwa najcheka sana lkn haya uswaz sana
ploud uswaziii!!!!!!!!!