hahahahahahahahaaaa...!sitakaa nisahau enzi hizo utoto akili yote ilijaa mapicha/movie, kwenye pepa moja kulikua na maswali ya kuandika kinyume mf, nene-nyembamba, kuna swali tukaambiwa kinyume cha adui nikajibu stelingi.
umenikumbusha shuleni.
nilikua mdogo kuliko wote darasani ila nilikua mtundu sana. akili pia hazikua haba saaaana.
siku moja niko dawati la nyuma kabisa mwalim wa kiswaz anaendelea kufundisha me na mwanangu GP (RIP) tUnapiga
story. mara tcha akanistukiza....."tasi...mapenzi ni nini?" sasa mie kwa kukumbuka maneno ya mtaani mara mapenzi kidonda, mara mapenzi kikohozi, mara mapenzi nika uginjwa hayafichiki.....nikajibu "mapenzi ni kizunguzungu"
darsa looote kicheko......maskini mwalimu machungwa wala hakunichapa nae akashangaatu.