mgunga pori
JF-Expert Member
- Jul 23, 2016
- 4,092
- 4,896
Vp mkuuuu jibu umeshakipata mpaka sasaNilipokuwa mdogo nilipenda sana kulala na dada zangu kuliko kaka zangu; na baba yangu mara kwa mara alinikataza na kunielekeza nikalale na kaka zangu.
Siku moja nikagadhabika nikamuuliza "baba kwanini unanikataza kulala na kina dada"? Baba alinijibu kwa kuwa ww ni mwanaume na wao ni wasichan kwahio sio vizuri kulala nao...
Nami nikwambia mbona wewe kila siku unalala na mama na wakati mama ni mwanamke?........
Hakika baba alikosa jibu............
Huo ukorofi sasaMimi hadi leo mjinga, naamini ukitaka fanikiwa ktk maisha yako au biashara zako lazima uwe kada wa ccm.
Duh we mtu umenichekeshamimi nilikuwa nadhani zile picha za ukutani sebuleni wazazi walikuwa wakiniona hivyo nilikuwa naogopa kudokoa chochote kilichopo sebuleni:becky:
mwanaume anatoa mbegu fala weweMi nilipoambiwa kuwa mwanaume ndiye anaetoa mayai nilidhani staweza kuzaa maana niliona sina uwezo wa kutoa yai maana nilijua tunatoa mayai kama ya kuku
Bora wewe kidogo ulikuwa na kitu kichwaniMi nilikuwa najua ukitoka Tanzania, sehemu inayofuatia kwenye mji ni Kenya then kutoka hapo kuna bonge la msitu mpaka Ulaya
Kwa hiyo umeona ukizungumza kiingereza tutalazimika kukubali una akili. Hapa Nairobi hata machokoraa wanakipiga mbaya.Ooo you simple ones,understand prudence,and you fools, be of an understanding heart.
For my mouth will speak truth,wickedness is abomination to my lips,nothing crooked or pervese in my mouth.
Hahahahaa [emoji3] [emoji3] [emoji3]mm mpaka jana nilikuwa najua rais ni tajiri kuliko wananchi wote.
Imetaka kufanana na yangu,enzi za utoto na zile radio mbao mi nilidhani eti ndani kuna watu wapo mule wanaongea[emoji28] [emoji28]Tv nilijua kuna wa2 ndani wanaögea
Haaaaaaaa daaaamimi nilikuwa nadhani zile picha za ukutani sebuleni wazazi walikuwa wakiniona hivyo nilikuwa naogopa kudokoa chochote kilichopo sebuleni:becky:
Mzee TID yupi? Huyu Mzee Kigogo a.k.a Mzee Wa Zeze au?Mi nilikuwa na akili mulize TID nilikuwa nawashikia namba class
mkuu, samahani unazungumzia dagaa ganiWazee mm nilikuwa najua Dagaa zinalimwa kama mazao mengine,daaahhhhhhhh noma sana
Sent using Jamii Forums mobile app