ule ulikua utoto na si ujinga.ila ulichoandika hapa ndo ujinga.,teh teh tehee!Habari zenu wandugu?? Leo embu tukumbushane mambo ya zamani ambayo ulikua unatumia akili za kitoto ktk kufikiri. Basi bhana mimi zamani nilivyokua mjinga nlikua najua ukizima RADIO kama ilikua ni taarifa ya habari au matangazo ya vifo, ukija kuwasha baadae kitaendelea kilichokua kinatangazwa kabla hujaizima radio. Nlikua mjinga eh? Embu na wewe tupe kaujinga kako kazamani...
sitakaa nisahau enzi hizo utoto akili yote ilijaa mapicha/movie, kwenye pepa moja kulikua na maswali ya kuandika kinyume mf, nene-nyembamba, kuna swali tukaambiwa kinyume cha adui nikajibu stelingi.
Kweli wewe jamaa umekuwa lijinga la kutupwa, we tuko kwenye jokes na utani wewe unapaniki ovyo tu.He who strains his lips is wise,the lips of the righteous feed many,but fools die for lack of wisdom
Ule mchezo wa kukaa barabarani then kila gari linalopita mnashindana kwa kusema hili langu nyie hamjaupitia? Mimi nilikuwa naibuka kidedea kila siku! Amakweli utoto mzigo!
Tv nilijua kuna wa2 ndani wanaögea
mipapai dume tulikuwa tunaifunga mabunzi ya mahindi ili ugeuke mpapai jike
Mwisho Wa huu mchezo nilijikuta nimechagua magari yenye plate number SU na mwenzangu akachagua SM. baadae nikajikuta SM zilikua nyingi kwa wakati ule basi nikawa bored saaana!