Zamani nilivyokuwa Mjinga!

Nilikuwa nikisikia redioni wanatangaza "Jipatie TV nchi 12 ...", namwuliza baba kama watakuruhusu ujichagulie nchi kama vile Kenya, Ujerumani, Marekani etc. Kumbe wanamanisha mapana na marefu.

Aisee wewe akili zako zilikuwa za ziada!
 
Mimi sikua mjinga kama nyie nilikua napenda sana kusoam kiasi kwamba umeme ukikatika naenda kusubiri taa za magari nagonga kama msatri mmoja hivi likipita nasubiri lingine

We lazima saivi utakua Mbunge. Embu nikumbushe wa jimbo gani lile?
 
Dah! We lazima utakua mwanasayansi mzuri sana ckuizi! Waya kwenye Nnya?
 
Nakumbuka kijana mmoja alipomwambia mama yake anaenda kuongeza shule mama akamuuliza "mwanangu unasoma uwe Rais"
We lazima saivi utakua Mbunge. Embu nikumbushe wa jimbo gani lile?

tena aimuuliza kwa kinyalu
 
Redio ya bendi 3 nilidhani ni Msondo, Sikinde na Vijana Jazz
 
Nilikua nanunuliwa viatu vikubwa eti NIKUE NAVYO............hapa sio mimi fool
 
Hadi leo nikiona kisiki usiku nadhani ni mtu anakunya
 
Nilikua napenda kuogelea sana baharini eti nipate elimu kubwa (Elimu ni bahari)
 
Niliiba viatu vya baba (kama vya kungfu vile) nikapeleka kwa fundi viatu anipunguzie kama nguo inavyopunguzwa.
 
ndugu yangu mmasai,alijua watangazaji wanakaa ndani ya redio,ikaharibika na kuipeleka kwa fundi,ikafunguliwa ....fundi akamshangaa masai kwa kauli yake,kamata hao watangasaji baada ye mende wawili kutoka
 
Niliiba viatu vya baba (kama vya kungfu vile) nikapeleka kwa fundi viatu anipunguzie kama nguo inavyopunguzwa.

Hahahaaa! Lazima akili zako zilikua zimeibiwa na mwizi.
 
m nakumbuka mtihan wa kwanza darasa la kwanza..mwalimu akatuelekeza huku akitoa mfano sehemu ya jina kama ni jina lako ni fimbo andika fimbo.. kama ako anaitwa simba andika simba..sehemu unayoish kama n mtoni andika mtoni karibia maswali yote akayotolea mfano..m nkajibu vile alivyokuwa anasema...nkapata ziroooo
 
Nakumbuka niliwekasukari nyingi kwenye chai nikafikiri nikajiona mjanja nikaweka chumvi kidogo... Kilicho nitokea nilipo onja ni nomaaa...
Invites to
Marry Hunbig Slave @C6
 
Last edited by a moderator:
Niliiba viatu vya baba (kama vya kungfu vile) nikapeleka kwa fundi viatu anipunguzie kama nguo inavyopunguzwa.
hata mimi niliwahi kuvipenda viatu vikubwa kidogo nikafanfya hivi kwa imani kabisa
 
Nakumbuka niliwekasukari nyingi kwenye chai nikafikiri nikajiona mjanja nikaweka chumvi kidogo... Kilicho nitokea nilipo onja ni nomaaa...
Invites to
Marry Hunbig Slave @C6
mimi niliwahi kulamba sukari na majani nikanywa na maji ya baridi kisha nikakaa juani...................
 
Nakumbuka niliwekasukari nyingi kwenye chai nikafikiri nikajiona mjanja nikaweka chumvi kidogo... Kilicho nitokea nilipo onja ni nomaaa...
Invites to
Marry Hunbig Slave @C6

hahaha kweli ujinga huu! Mie nilijua yale maroli scania 113 huwa yanaendeshwa na watu wenye nguvu sana zaidi ya baunsa. Kumbe hata katoto tu kanaweza kuendesha Donn ngoja niite my waifu wangu aje anione nilivyokuwa mjinga. Diaa! Diaa Evelyn Salt njoo huku once.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…