Zamani nilivyokuwa Mjinga!

Zamani nilivyokuwa Mjinga!

Loli

Senior Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
176
Reaction score
75
Habari zenu wandugu?? Leo embu tukumbushane mambo ya zamani ambayo ulikua unatumia akili za kitoto ktk kufikiri. Basi bhana mimi zamani nilivyokua mjinga nlikua najua ukizima RADIO kama ilikua ni taarifa ya habari au matangazo ya vifo, ukija kuwasha baadae kitaendelea kilichokua kinatangazwa kabla hujaizima radio. Nlikua mjinga eh? Embu na wewe tupe kaujinga kako kazamani...
 
Mi nilikuwa na akili mulize TID nilikuwa nawashikia namba class
 
Miaka hiyo ya 1978 kuendelea hadi 1985 nilikuwa najua wanaovaa miwani wote ni wasomi sana tena sana, na pia mwalimu yoyote nikikutana nae amebeba mzigo lazima nimkimbilie nimsaidie na hata kwenye yale mabasi yetu ya mjini (town bus) "Shimawino" tulikuwa haturuhusiwi kukaa kwenye siti hata kama zipo wazi tunajua ni za wakubwa tuu, kweli tulikuwa gizani.
 
Dah! We ulikua una akili sana aisee!!
 
Back
Top Bottom