Zamani nilivyokuwa Mjinga!

Zamani nilivyokuwa Mjinga!

Niliaminishwa kwamba wachezaji wana dhambi sana...nikisikia mtangazaji anasema anamhadaa hapa...au wakati wa penati kipa anaangukia kushoto mpira unaenda kulia.....(kudanganya)
 
Mimi bana!mh kipindi nasoma nliwahi shindwa fua shati langu la shule ilipofika juma3 nikavaaa halafu nikachukua mafuta ya kupakaa ili nilighalishe kamaa ambavo mi nikipakaaa nang'aaa kilichotokea sasaaa ni balaaaaaa tupu.
 
Kuna siku tulizunguka porini kutafuta radio inatangaziwa wapi. Tujawa tunasema kwa hii sauti inavyodaka lazima watakuwa hapa hapa. Ilikuwa mbeya vijijini. Dah leo nikikumbuka najicheka sana.
 
bora wewe TV mie nilijua ndani ya radio ndio kuna watu..lol

Eeeeeeeh, umenikumbushambali sana, kwani nakumbuka niliwahi kujifanya nafungua redio ya mzee ili niwaone hao watangazaji, kilichonikuta siwezi sahau kamwe, nilichezea bakoraa na sikurudia tena.
 
Nilijua SOKO LA DUNIA liko mahali fulani na lazima itakua ni KUBWA SANA
ulikuwa na akili sana wala siyo ujinga you was thinkng big kwani kwani halipo soko la dunia ni hiz SME za ulaya unakuta kila siku zinaongezeka!maana kama sikuwepo teknolijia inamaana ungekuwa bonge la mnada!hukuwa mjinga natumaini hukupoteza kipaji chako utakuwa unafanyamambo ya marktng!
 
Ooo you simple ones,understand prudence,and you fools, be of an understanding heart.
For my mouth will speak truth,wickedness is abomination to my lips,nothing crooked or pervese in my mouth.
mboni mkali wa maneno?
 
kuna jamaa alitudanganya 2kipanda pesa utaota mti mkubwa sana wa pesa nasi tutatajirika! Tukafukia mia tano chini ya udongo na kukojolea et tunamwagilia mbegu* tuliporud shule tukakuta shimo 2 na hakuna pesa....jamaa alishafukua na kuchukua pesa
 
nikiwa mdogo nilifikiri kuwa watu wanawekwa kwenye radio waongee na siku moja nilimwomba baba anitumbukize
 
nikiwa mdogo nilifikiri kuwa watu wanawekwa kwenye radio waongee na siku moja nilimwomba baba anitumbukize
 
Nikiwa mdogo nilikuwa nadhani wanawake wanajifungua kupitia njia ya aja kubwa! au mdomoni! kumbe nikupitia..........!!
 
Mi mpaka leo hii kuna baadhi ya mambo mi mjinga kabisa
 
Habari zenu wandugu?? Leo embu tukumbushane mambo ya zamani ambayo ulikua unatumia akili za kitoto ktk kufikiri. Basi bhana mimi zamani nilivyokua mjinga nlikua najua ukizima RADIO kama ilikua ni taarifa ya habari au matangazo ya vifo, ukija kuwasha baadae kitaendelea kilichokua kinatangazwa kabla hujaizima radio. Nlikua mjinga eh? Embu na wewe tupe kaujinga kako kazamani...

Ni kiona Magari yanawaka taa wakati majumbani hamna umeme, nilikua nikisema TANESCO WANAWAPENDELEA Wenye Magari........
 
Habari zenu wandugu?? Leo embu tukumbushane mambo ya zamani ambayo ulikua unatumia akili za kitoto ktk kufikiri. Basi bhana mimi zamani nilivyokua mjinga nlikua najua ukizima RADIO kama ilikua ni taarifa ya habari au matangazo ya vifo, ukija kuwasha baadae kitaendelea kilichokua kinatangazwa kabla hujaizima radio. Nlikua mjinga eh? Embu na wewe tupe kaujinga kako kazamani...

MSADA WADAU, Nifanyaje kuweza kuweka POST MPYA?
 
Back
Top Bottom