Zamani ukisema fulani yupo 'Chuo' watu waliogopa,siku hizi

musicarlito

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2020
Posts
591
Reaction score
909
Wadogo zangu mjitafakari

Nadhani kama sio utandawazi na namna nyingi za kupata 'materials' tungekuwa na balaa zaidi

No wonder vijana wa chuo mmegeuka chawa...

Enzi za mwalimu hata tulipokuwa sekondari tuliajiriwa...sasa hivi sidhani kama ndio mnapata na muda wa kumgombania Mwijaku

Hii inafanya kama Taifa tubaki tunawategemea akina Wassira hatuna namna ...wasomi nao wanalilia ajira

Wote wanaimba wimbo wa kumsifu mama
 
Wanajua sisi ni people tutakutana kwenye vibarua vya kubeba zege kitaa🤒
 
Viongozi wenyewe wamepata elimu ya kuunga unga mifumo inawabeba sio competent.

Sina kumbukumbu sawa kama rais kuna tukio lolote amelifanya na wasomi aidha kwenye vyuo kama rais wengine huko nyuma?
 
Marekani kuna Gen Z milioni 4 (wengi wao weusi) hawana kazi na wao wanalaumu digrii za hovyo zisizo na ujuzi. Enzi zetu (late 60s - 70s) kabla hujamaliza chuo waajiri wanakufuata hapo hapo kukugombania. Ndiyo maana wasomi tuliheshimika. Sasa nani atakuheshimu wakati upo mtaani tu?

-1270313013.jpg
 
Marekani kuna Gen Z milioni 4 hawana kazi na wao wanalaumu digrii za hovyo zisizo na ujuzi. Enzi zetu kabla hujamaliza chuo waajiri wanakufuata hapo hapo kukugombania. Ndiyo maana wasomi tuliheshimika. Sasa nani atakuheshimu wakati upo mtaani tu?

View attachment 3313257
Kaka kipindi hichi kuna fusra nyingi za kuheshimika zaidi ya kitambo.
 
Sana mkuu , kama kwenye kijiji changu waliogopa sana halafu kipindi hicho Olevel nikatia 1 ya 9 advance nikatia tena 6 pcb same boys, kitaa nikauza mayai kila mtu alihisi nimelogwa mamaee 🥲
Bro unatupanga
 
Wadogo zangu mjitafakari

Nadhani kama sio utandawazi na namna nyingi za kupata 'materials' tungekuwa na balaa zaidi

No wonder vijana wa chuo mmegeuka chawa...

Enzi za mwalimu hata tulipokuwa sekondari tuliajiriwa...sasa hivi sidhani kama ndio mnapata na muda wa kumgombania Mwijaku

Hii inafanya kama Taifa tubaki tunawategemea akina Wassira hatuna namna ...wasomi nao wanalilia ajira

Wote wanaimba wimbo wa kumsifu mama
zama unazoongelea zilikuwa za kijima hakukuwa na "www", WE WERE BEING INFORMED BY THE GOVERNEMENT, lakini sasa PEOPLE are INFORMING THE GOVERNMENT tupo kwenye utandawazi, hata kwa utawala/serikali kuna faida na changangamoto wanapambana nazo. PLS embarace and harness the WWW positively
 
Hahaha
Sana mkuu , kama kwenye kijiji changu waliogopa sana halafu kipindi hicho Olevel nikatia 1 ya 9 advance nikatia tena 6 pcb same boys, kitaa nikauza mayai kila mtu alihisi nimelogwa mamaee 🥲
 
zama unazoongelea zilikuwa za kijima hakukuwa na "www", WE WERE BEING INFORMED BY THE GOVERNEMENT, lakini sasa PEOPLE are INFORMING THE GOVERNMENT tupo kwenye utandawazi, hata kwa utawala/serikali kuna faida na changangamoto wanapambana nazo. PLS embarace and harness the WWW positively
Tuone basi impact kwenye jamii...sio kuunga mkono hoja...hamna uwezo wa kuchallenge chochote kwa sababu hata tafiti za chuo mmechukua za watu mka edit...kila kitu mmetoa kwenye Google

Hamna uwezo wa kuchallenge chochote zaidi mnaingia kwenye makundi ya watu ambao hawakuwa prevalleged kama ninyi
 
Nyie wazeee kelele Nyingi, Lakini mnasahau nyie ndo mmetufikisha hapa.

Mifumo ya Elimu mmeiaribu wenyewe kwa kuingiza siasa, Sasa mnatutupia Mpira sisi.

Mtukome.
 
Kama taifa tushapoteza dira...

Na degree yako unaqmbiwa uende veta 🤣
 
Tuone basi impact kwenye jamii...sio kuunga mkono hoja...hamna uwezo wa kuchallenge chochote kwa sababu hata tafiti za chuo mmechukua za watu mka edit...kila kitu mmetoa kwenye Google

Hamna uwezo wa kuchallenge chochote zaidi mnaingia kwenye makundi ya watu ambao hawakuwa prevalleged kama ninyi
Impact ipo, we huwezi ona unaishi kwa city, LGA iko fairly improved,.
 
Back
Top Bottom