Zamani ukisema fulani yupo 'Chuo' watu waliogopa,siku hizi

Zamani ukisema fulani yupo 'Chuo' watu waliogopa,siku hizi

Nyie wazeee kelele Nyingi, Lakini mnasahau nyie ndo mmetufikisha hapa.

Mifumo ya Elimu mmeiaribu wenyewe kwa kuingiza siasa, Sasa mnatutupia Mpira sisi.

Mtukome.
Kweli mkuu.
Hao wanaojidai walisoma "enzi hizo" na eti walipata elimu bora hawajaleta mchango wowote kwa taifa ukiachana na Nyerere.
 
Wadogo zangu mjitafakari

Nadhani kama sio utandawazi na namna nyingi za kupata 'materials' tungekuwa na balaa zaidi

No wonder vijana wa chuo mmegeuka chawa...

Enzi za mwalimu hata tulipokuwa sekondari tuliajiriwa...sasa hivi sidhani kama ndio mnapata na muda wa kumgombania Mwijaku

Hii inafanya kama Taifa tubaki tunawategemea akina Wassira hatuna namna ...wasomi nao wanalilia ajira

Wote wanaimba wimbo wa kumsifu mama
Zamani ipi? Zamani ni relative concept mwanangu. Weka kuanzia lini hadi lini tukuelewe
 
Back
Top Bottom