musicarlito
JF-Expert Member
- Dec 29, 2020
- 591
- 909
Hawa wakubwa wametengeneza mfumo ambao kujua kama tuko mtegoni sio rahisi ila wachache na hao wachache wakitaka kututetea tunawaona maaduiInasikitisha sana kama taifa
Kaka kipindi hichi kuna fusra nyingi za kuheshimika zaidi ya kitambo.Marekani kuna Gen Z milioni 4 hawana kazi na wao wanalaumu digrii za hovyo zisizo na ujuzi. Enzi zetu kabla hujamaliza chuo waajiri wanakufuata hapo hapo kukugombania. Ndiyo maana wasomi tuliheshimika. Sasa nani atakuheshimu wakati upo mtaani tu?
View attachment 3313257
Bro unatupangaSana mkuu , kama kwenye kijiji changu waliogopa sana halafu kipindi hicho Olevel nikatia 1 ya 9 advance nikatia tena 6 pcb same boys, kitaa nikauza mayai kila mtu alihisi nimelogwa mamaee 🥲
zama unazoongelea zilikuwa za kijima hakukuwa na "www", WE WERE BEING INFORMED BY THE GOVERNEMENT, lakini sasa PEOPLE are INFORMING THE GOVERNMENT tupo kwenye utandawazi, hata kwa utawala/serikali kuna faida na changangamoto wanapambana nazo. PLS embarace and harness the WWW positivelyWadogo zangu mjitafakari
Nadhani kama sio utandawazi na namna nyingi za kupata 'materials' tungekuwa na balaa zaidi
No wonder vijana wa chuo mmegeuka chawa...
Enzi za mwalimu hata tulipokuwa sekondari tuliajiriwa...sasa hivi sidhani kama ndio mnapata na muda wa kumgombania Mwijaku
Hii inafanya kama Taifa tubaki tunawategemea akina Wassira hatuna namna ...wasomi nao wanalilia ajira
Wote wanaimba wimbo wa kumsifu mama
Sio kweli.Nadhani kama sio utandawazi na namna nyingi za kupata 'materials' tungekuwa na balaa zaidi
Kabisa...ni watu wanaenda kukuaThamani ya elimu yetu imeshuka sana
Sana mkuu , kama kwenye kijiji changu waliogopa sana halafu kipindi hicho Olevel nikatia 1 ya 9 advance nikatia tena 6 pcb same boys, kitaa nikauza mayai kila mtu alihisi nimelogwa mamaee 🥲
Tuone basi impact kwenye jamii...sio kuunga mkono hoja...hamna uwezo wa kuchallenge chochote kwa sababu hata tafiti za chuo mmechukua za watu mka edit...kila kitu mmetoa kwenye Googlezama unazoongelea zilikuwa za kijima hakukuwa na "www", WE WERE BEING INFORMED BY THE GOVERNEMENT, lakini sasa PEOPLE are INFORMING THE GOVERNMENT tupo kwenye utandawazi, hata kwa utawala/serikali kuna faida na changangamoto wanapambana nazo. PLS embarace and harness the WWW positively
Impact ipo, we huwezi ona unaishi kwa city, LGA iko fairly improved,.Tuone basi impact kwenye jamii...sio kuunga mkono hoja...hamna uwezo wa kuchallenge chochote kwa sababu hata tafiti za chuo mmechukua za watu mka edit...kila kitu mmetoa kwenye Google
Hamna uwezo wa kuchallenge chochote zaidi mnaingia kwenye makundi ya watu ambao hawakuwa prevalleged kama ninyi