Mwalimu Nyerere aliasisi uadilifu katika utumishi was umma!
Zamani ili uwe na pesa za kuchota ilitakiwa uwe mfanyabiashara mkubwa!
Lakini sasahivi viongozi na wafanyakazi vitengo ndiyo wanajichotea pesa mingi kupitia posho, madili na vikao per DM!
Kwa wiki marurupu tu ya vikao anakunja hata zaidi ya 10m inje ya mshahara!
Halafu sie wachuuzi huku mtaani tunapambana kutoa EFD tulipe kodi lakini matumizi ya pesa ni hovyo!
Kuiombea nchi hii ni kazi ngumu sana hata ukifunga na kuomba!