Ezra cypher
JF-Expert Member
- Jul 17, 2024
- 244
- 904
Hao wa rika hilo walikuzaa, wakakulea na ndiyo ukapata hiyo akili ya kuyasema hayaKizazi cha miaka ya 1950 -1970 amabao ndo wazazi wetu walikuwa ni kizazi cha watu wazembe.
Kizazi hiki ndo kizazi ambacho kimekufa na ukimwi kwa kupenda Sana ngono.
Kizazi hiki ndo kizazi ambacho kinatoa vitisho vya laana .
Kizazi hiki ndo kizazi ambacho hakina maendeleo ya kijamii ,kiuchumi na kiakili .
Kizazi hiki ndo kilishikilia dini na kusahau mila za babu zetu.
Kizazi hiki ndo kizazi cha laana starehe zote kilikuwa kinaendekeza wao.
Zamani ardhi kupata ni sawa na bure Ila unakuta mzazi hana ardhi anayomiliki .
Ndio kizazi kilichokuzaa na ukakuta nchi ina amani.Kizazi cha miaka ya 1950 -1970 amabao ndo wazazi wetu walikuwa ni kizazi cha watu wazembe.
Kizazi hiki ndo kizazi ambacho kimekufa na ukimwi kwa kupenda Sana ngono.
Kizazi hiki ndo kizazi ambacho kinatoa vitisho vya laana .
Kizazi hiki ndo kizazi ambacho hakina maendeleo ya kijamii ,kiuchumi na kiakili .
Kizazi hiki ndo kilishikilia dini na kusahau mila za babu zetu.
Kizazi hiki ndo kizazi cha laana starehe zote kilikuwa kinaendekeza wao.
Zamani ardhi kupata ni sawa na bure Ila unakuta mzazi hana ardhi anayomiliki .
Tafuta ardhi wewe ya kwako
Watoe wazazi wangu usiwahisabie
Inafikirisha Sana watu hampendi kuambiwa ukweliUmezaliwa ukalelewa ukasomeshwa sasa unakuja kutukana hapa! Hivi hujui kuwa hii ni sawa na laana?
Pale mtu anapotafakari urithi endapo mzazi atapoaga dunia na haoni cha kurithi, kuwa mpole hao wazazi wetu walikuwa Wana limitation kibao, kuna ambao walifungwa jela 1983 kwa ulanguzi (mtu kakutwa na doti 5 tu za kanga zinampeleka jela) achilia mbali kuishi kulingana na kipato.
Nikilinganisha sasa na hao unaowaponda nadhani wengi walimilki angalau kiwanja na kujenga kajumba, unless kama mzazi wako alikula sana anasa akajisahau.
Matusi yote itakuwa umekutana na kijana ambae baba yake alikuwa na eneo Kariakoo au Masaki amekutoa kwenye reli baada ya kuona anapata maokoto ya kodi
Umeongea point sana Mkuu, wengi wanakimbilia Kusema wamekusomesha, wamekulea n.k kama lugha ya kutetea uzembe walioufanya kwa kuendekeza starehe na maisha ya kutaka sifa.Kizazi cha miaka ya 1950 -1970 amabao ndo wazazi wetu walikuwa ni kizazi cha watu wazembe.
Kizazi hiki ndo kizazi ambacho kimekufa na ukimwi kwa kupenda Sana ngono.
Kizazi hiki ndo kizazi ambacho kinatoa vitisho vya laana .
Kizazi hiki ndo kizazi ambacho hakina maendeleo ya kijamii, kiuchumi na kiakili.
Kizazi hiki ndo kilishikilia dini na kusahau mila za babu zetu.
Kizazi hiki ndo kizazi cha laana starehe zote kilikuwa kinaendekeza wao.
Zamani ardhi kupata ni sawa na bure Ila unakuta mzazi hana ardhi anayomiliki.
Hatuwezi kurudia makosa waliofanya hao wazee wetu.hata sasa hivi kuna sehemu ukiwa na elfu 30 unapata acre moja, kuna siku siku wajukuu zako watashangaa kwanini babu hakununua acres 100