Carasco Putin
JF-Expert Member
- Apr 23, 2022
- 10,644
- 32,375
Mjukuu unatafuta laana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli wewe ni msomi kweli good analytical skills.Umeongea point sana Mkuu, wengi wanakimbilia Kusema wamekusomesha, wamekulea n.k kama lugha ya kutetea uzembe walioufanya kwa kuendekeza starehe na maisha ya kutaka sifa.
Kulea, kulisha, kusomesha n.k. Ni majukumu ya msingi na ya lazima kwa mzazi kwa uzao wake, haiwezekani mimi leo nibweteke nisijiwekeze kwa maisha yangu ya baadaye ili nije kuwa mzigo kwa watoto wangu eti nilitumia muda wangu kuwalea na kuwasomesha.
Ndiyo maana umasikini hauishi kwenye familia nyingi unakuta kijana ameanza kazi badala aanze kujiwekeza kwa maendeleo yake binafsi unakuta kuna lundo la ndugu na mzigo wa wazazi waliouchezea ujana wao wanataka wagawane kamshahara hako kiduchu kwa mtu anayeanza maisha.
Kijana pambana kujijenga na punguza starehe zisizo na msingi ili usiwe mzigo kwa uzao wako na kuwaongezea majukumu ambayo ulitakiwa uyafanye ukiwa na nguvu badala yake uje kuwatishia watoto kuwa utawapa laana kwa ulofa wako.
Vijana wa sasa mkifanikiwa kidogo tu, basi naona walio wazaa na kuwalea hadi lei mkafikia mafanikio ni wajingaaaa...🤨
Kwani wewe una umri gani binamu?Kizazi cha miaka ya 1950 -1970 amabao ndo wazazi wetu walikuwa ni kizazi cha watu wazembe.
Kizazi hiki ndo kizazi ambacho kimekufa na ukimwi kwa kupenda Sana ngono.
Kizazi hiki ndo kizazi ambacho kinatoa vitisho vya laana .
Kizazi hiki ndo kizazi ambacho hakina maendeleo ya kijamii, kiuchumi na kiakili.
Kizazi hiki ndo kilishikilia dini na kusahau mila za babu zetu.
Kizazi hiki ndo kizazi cha laana starehe zote kilikuwa kinaendekeza wao.
Zamani ardhi kupata ni sawa na bure Ila unakuta mzazi hana ardhi anayomiliki.
Hata ww wanao watasema baba ama mama walikua uzao wa hovyo kwabi hawakuona huko Kibiti viwanja vinauzwa laki tano unalalama hapa wakati hata ww unaweza kua huna hata kipande cha kumi kwa kumi
Umri wangu hautajusaidia chochote jikite katika madaKwani wewe una umri gani binamu?
Hao wazazi wako ndio walikuwa wazembe sawa na wewe ulivyo mzembe.Kizazi cha miaka ya 1950 -1970 amabao ndo wazazi wetu walikuwa ni kizazi cha watu wazembe.
Kizazi hiki ndo kizazi ambacho kimekufa na ukimwi kwa kupenda Sana ngono.
Kizazi hiki ndo kizazi ambacho kinatoa vitisho vya laana .
Kizazi hiki ndo kizazi ambacho hakina maendeleo ya kijamii, kiuchumi na kiakili.
Kizazi hiki ndo kilishikilia dini na kusahau mila za babu zetu.
Kizazi hiki ndo kizazi cha laana starehe zote kilikuwa kinaendekeza wao.
Zamani ardhi kupata ni sawa na bure Ila unakuta mzazi hana ardhi anayomiliki.
Hii mada mfu?Umri wangu hautajusaidia chochote jikite katika mada
Wapi hukohata sasa hivi kuna sehemu ukiwa na elfu 30 unapata acre moja, kuna siku siku wajukuu zako watashangaa kwanini babu hakununua acres 100
InatoshaArdhi ninayo mkuu
Licha ya kwamba wachangiaji wengi wamejaribu kukupinga lakini mada yako ina Ukweli mchungu Sana. Wakati wa miaka ya 1950-1980's Ardhi ilikuwa inapatikana kwa urahisi Sana hapa Tanzania, tena ilikuwepo ya kutosha Sana, lakini Watu wengi wa nyakati hizo hadi leo wengi wao hawana ardhi wanayomiliki.Kizazi cha miaka ya 1950 -1970 amabao ndo wazazi wetu walikuwa ni kizazi cha watu wazembe.
Kizazi hiki ndo kizazi ambacho kimekufa na ukimwi kwa kupenda Sana ngono.
Kizazi hiki ndo kizazi ambacho kinatoa vitisho vya laana .
Kizazi hiki ndo kizazi ambacho hakina maendeleo ya kijamii, kiuchumi na kiakili.
Kizazi hiki ndo kilishikilia dini na kusahau mila za babu zetu.
Kizazi hiki ndo kizazi cha laana starehe zote kilikuwa kinaendekeza wao.
Zamani ardhi kupata ni sawa na bure Ila unakuta mzazi hana ardhi anayomiliki.
Naamini kuna shida uliipata sehem wakati wa malezi yakoKulea haujui kuwa ni sehemu ya majukumu yako.
Unapozaa mtoto unategemea nani akusaidie kulea .
Don't decline ur responsibility
Jibu mbona unalo mkuu?Kizazi cha miaka ya 1950 -1970 amabao ndo wazazi wetu walikuwa ni kizazi cha watu wazembe.
Kizazi hiki ndo kizazi ambacho kimekufa na ukimwi kwa kupenda Sana ngono.
Kizazi hiki ndo kizazi ambacho kinatoa vitisho vya laana .
Kizazi hiki ndo kizazi ambacho hakina maendeleo ya kijamii, kiuchumi na kiakili.
Kizazi hiki ndo kilishikilia dini na kusahau mila za babu zetu.
Kizazi hiki ndo kizazi cha laana starehe zote kilikuwa kinaendekeza wao.
Zamani ardhi kupata ni sawa na bure Ila unakuta mzazi hana ardhi anayomiliki.
Hatq kwako kuna jambo utakalokuja kulaumiwa. What goes around comes around. Karma is real.Kizazi cha miaka ya 1950 -1970 amabao ndo wazazi wetu walikuwa ni kizazi cha watu wazembe.
Kizazi hiki ndo kizazi ambacho kimekufa na ukimwi kwa kupenda Sana ngono.
Kizazi hiki ndo kizazi ambacho kinatoa vitisho vya laana .
Kizazi hiki ndo kizazi ambacho hakina maendeleo ya kijamii, kiuchumi na kiakili.
Kizazi hiki ndo kilishikilia dini na kusahau mila za babu zetu.
Kizazi hiki ndo kizazi cha laana starehe zote kilikuwa kinaendekeza wao.
Zamani ardhi kupata ni sawa na bure Ila unakuta mzazi hana ardhi anayomiliki.
ILA ilikuwa rahisi kwa baba na babu zako?Wacha lawama jenga maisha yako.Sio rahisi Kama unavyosema hivyo mkuu.