Zamani viwanja vilikuwa unaamka asubuhi unaenda kuwahi, ila unakuta mzazi hana ardhi anayomiliki hadi sasa

Kweli wewe ni msomi kweli good analytical skills.
 
Kwani wewe una umri gani binamu?
 
Hao wazazi wako ndio walikuwa wazembe sawa na wewe ulivyo mzembe.
Kama unavyowaona wapumbavu ni swa na wewe hapa ulivyo mpumbavu kwa kutokujua unawalaani(kitu ambacho hakiwezekani) wazazi wako.
 
Licha ya kwamba wachangiaji wengi wamejaribu kukupinga lakini mada yako ina Ukweli mchungu Sana. Wakati wa miaka ya 1950-1980's Ardhi ilikuwa inapatikana kwa urahisi Sana hapa Tanzania, tena ilikuwepo ya kutosha Sana, lakini Watu wengi wa nyakati hizo hadi leo wengi wao hawana ardhi wanayomiliki.
 
Kama wazazi wako wangekuwa wazembe ungekuwa hai leo?

Fikiria walivyokutunza ukiwa kichanga. Wangezembea hata sisimizi wangekuua. Wanekusomesha Hadi unaweza kuandika ulichooandika.

Unavyodhani hawajafanya yafanye wewe. Sasa wamezeeka INAWEZEKANA wewe ni sababu ya wazazi wako kutonunua ardhi kibwa. Wakitimiza pesa zao kukulisha , kukuvisha , kukusomesha, kukutibisha NK. Pesa Yao ikaishia hapo.

Zaa Watoto wako uone ni rahisi kiasi gani kuwafanyia yote unavyodhani wazazi wako hawajakufanyia.

Shukuru MUNGU wamekufikisha hapo? WEWE unayedhania u smart zaidi ya wazazi wako nunua ardhi ambayo wazazi wako hawakununua.
Usiwaze Mali ya kurithi.

Najisikia aibu kubwa Sana kuwa na mtu Kama wewe Duniani.

Jifunze kufikiri vizuri. Fanya Kazi KWA bidii na Maarifa.

WEWE unaanzia walipokufikisha wazazi wako.

Nakushauri ukawaombe radhi wazazi hako hata kama hawajadoma ulichoondika.
 
Jibu mbona unalo mkuu?
 
Hatq kwako kuna jambo utakalokuja kulaumiwa. What goes around comes around. Karma is real.
Duniq ina mengi huwezi kufanya kila kitu:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…