Umemaliza?Kizazi cha miaka ya 1950 -1970 amabao ndo wazazi wetu walikuwa ni kizazi cha watu wazembe.
Kizazi hiki ndo kizazi ambacho kimekufa na ukimwi kwa kupenda Sana ngono.
Kizazi hiki ndo kizazi ambacho kinatoa vitisho vya laana .
Kizazi hiki ndo kizazi ambacho hakina maendeleo ya kijamii, kiuchumi na kiakili.
Kizazi hiki ndo kilishikilia dini na kusahau mila za babu zetu.
Kizazi hiki ndo kizazi cha laana starehe zote kilikuwa kinaendekeza wao.
Zamani ardhi kupata ni sawa na bure Ila unakuta mzazi hana ardhi anayomiliki.
Acha lawama na dhihaka kwa wazee wako kijana.Kizazi cha miaka ya 1950 -1970 amabao ndo wazazi wetu walikuwa ni kizazi cha watu wazembe.
Kizazi hiki ndo kizazi ambacho kimekufa na ukimwi kwa kupenda Sana ngono.
Kizazi hiki ndo kizazi ambacho kinatoa vitisho vya laana .
Kizazi hiki ndo kizazi ambacho hakina maendeleo ya kijamii, kiuchumi na kiakili.
Kizazi hiki ndo kilishikilia dini na kusahau mila za babu zetu.
Kizazi hiki ndo kizazi cha laana starehe zote kilikuwa kinaendekeza wao.
Zamani ardhi kupata ni sawa na bure Ila unakuta mzazi hana ardhi anayomiliki.
wewe unamiliki nini, kwani kizazi hiki kimefungiwa? kufanya hayo hapo juuKizazi cha miaka ya 1950 -1970 amabao ndo wazazi wetu walikuwa ni kizazi cha watu wazembe.
Kizazi hiki ndo kizazi ambacho kimekufa na ukimwi kwa kupenda Sana ngono.
Kizazi hiki ndo kizazi ambacho kinatoa vitisho vya laana .
Kizazi hiki ndo kizazi ambacho hakina maendeleo ya kijamii, kiuchumi na kiakili.
Kizazi hiki ndo kilishikilia dini na kusahau mila za babu zetu.
Kizazi hiki ndo kizazi cha laana starehe zote kilikuwa kinaendekeza wao.
Zamani ardhi kupata ni sawa na bure Ila unakuta mzazi hana ardhi anayomiliki.
azizae maana huyo hana cha kurithisha,,,,ukizaa mtoto atarithi mpaka akili. Sasa kuliko kutuletea majobless na watu wasio faida kama huyo mzazi asiyependa kumilki mali ya uzalishaji na asiye na akili ya kufikiri kwa mapana kuwa aridhi ni dhana ya msingi ya uzalishaji ni bora uzao huo usiwepo kabisa!!!Sasa kama mtu hataki kuwa na ardhi je
Hakika u kizazi cha laana!Kizazi cha miaka ya 1950 -1970 amabao ndo wazazi wetu walikuwa ni kizazi cha watu wazembe.
Kizazi hiki ndo kizazi ambacho kimekufa na ukimwi kwa kupenda Sana ngono.
Kizazi hiki ndo kizazi ambacho kinatoa vitisho vya laana .
Kizazi hiki ndo kizazi ambacho hakina maendeleo ya kijamii, kiuchumi na kiakili.
Kizazi hiki ndo kilishikilia dini na kusahau mila za babu zetu.
Kizazi hiki ndo kizazi cha laana starehe zote kilikuwa kinaendekeza wao.
Zamani ardhi kupata ni sawa na bure Ila unakuta mzazi hana ardhi anayomiliki.
HAKIKA UMEPOTOKA!Kizazi cha miaka ya 1950 -1970 amabao ndo wazazi wetu walikuwa ni kizazi cha watu wazembe.
Kizazi hiki ndo kizazi ambacho kimekufa na ukimwi kwa kupenda Sana ngono.
Kizazi hiki ndo kizazi ambacho kinatoa vitisho vya laana .
Kizazi hiki ndo kizazi ambacho hakina maendeleo ya kijamii, kiuchumi na kiakili.
Kizazi hiki ndo kilishikilia dini na kusahau mila za babu zetu.
Kizazi hiki ndo kizazi cha laana starehe zote kilikuwa kinaendekeza wao.
Zamani ardhi kupata ni sawa na bure Ila unakuta mzazi hana ardhi anayomiliki.
kwani mzazi wako kutomiliki ardhi wewe inakuhusu nini chief ? Kwanini usitafute ya kwako? Mambo gani kuanza kupangiana? Unajua miaka kadhaa mbele mtoto wako atakuja kuandika kwamba kizazi chako ni cha hovyo kwa sababu hauna rolls royce?Kizazi cha miaka ya 1950 -1970 amabao ndo wazazi wetu walikuwa ni kizazi cha watu wazembe.
Kizazi hiki ndo kizazi ambacho kimekufa na ukimwi kwa kupenda Sana ngono.
Kizazi hiki ndo kizazi ambacho kinatoa vitisho vya laana .
Kizazi hiki ndo kizazi ambacho hakina maendeleo ya kijamii, kiuchumi na kiakili.
Kizazi hiki ndo kilishikilia dini na kusahau mila za babu zetu.
Kizazi hiki ndo kizazi cha laana starehe zote kilikuwa kinaendekeza wao.
Zamani ardhi kupata ni sawa na bure Ila unakuta mzazi hana ardhi anayomiliki.
Ulitaka ukute ardhi na majumba urithishwe bila jasho sio? na hilo ndicho kinachowasumbua vijana wengi wa kizazi chako kupenda kitonga.Hatuwezi kurudia makosa waliofanya hao wazee wetu.
nimesikitika sana,...kwa hizi nondo ulizoshusha umeshindwa hata kumalizia neno ,.(PUMBAVU ZAO)..🙄Umeongea point sana Mkuu, wengi wanakimbilia Kusema wamekusomesha, wamekulea n.k kama lugha ya kutetea uzembe walioufanya kwa kuendekeza starehe na maisha ya kutaka sifa.
Kulea, kulisha, kusomesha n.k. Ni majukumu ya msingi na ya lazima kwa mzazi kwa uzao wake, haiwezekani mimi leo nibweteke nisijiwekeze kwa maisha yangu ya baadaye ili nije kuwa mzigo kwa watoto wangu eti nilitumia muda wangu kuwalea na kuwasomesha.
Ndiyo maana umasikini hauishi kwenye familia nyingi unakuta kijana ameanza kazi badala aanze kujiwekeza kwa maendeleo yake binafsi unakuta kuna lundo la ndugu na mzigo wa wazazi waliouchezea ujana wao wanataka wagawane kamshahara hako kiduchu kwa mtu anayeanza maisha.
Kijana pambana kujijenga na punguza starehe zisizo na msingi ili usiwe mzigo kwa uzao wako na kuwaongezea majukumu ambayo ulitakiwa uyafanye ukiwa na nguvu badala yake uje kuwatishia watoto kuwa utawapa laana kwa ulofa wako.
😂🤣🤣 nina uhakika hawa wazee wanaokufa kwa mshtuko wa moyo,.. sababu ni majibu ya watoto wao,...mzee anakutana na jibu ambalo hakuwai tegemea kusikia kutoka mtoto wake,...Kiukweli wazee wa karba hiyo inatakiwa kupigwa viboko kabisa ni Hawa wanajua kuhoji mishahara ya watoto wao ili wajue wanaanza kukupigaje .
Sasa hivi wewe ndio mzazi, type mafanikio, au ndio unakesha kwa Mwamposa, au unakesha baa wakati kisarawe kuna maelfu ya hekari hayajalimwa, unaoga maji kwa sabani ambayo umeitumia kumsafisha kinyesi katika mikono yakoKizazi cha miaka ya 1950 -1970 amabao ndo wazazi wetu walikuwa ni kizazi cha watu wazembe.
Kizazi hiki ndo kizazi ambacho kimekufa na ukimwi kwa kupenda Sana ngono.
Kizazi hiki ndo kizazi ambacho kinatoa vitisho vya laana .
Kizazi hiki ndo kizazi ambacho hakina maendeleo ya kijamii, kiuchumi na kiakili.
Kizazi hiki ndo kilishikilia dini na kusahau mila za babu zetu.
Kizazi hiki ndo kizazi cha laana starehe zote kilikuwa kinaendekeza wao.
Zamani ardhi kupata ni sawa na bure Ila unakuta mzazi hana ardhi anayomiliki.
Mkoa gani huo mkuu?? Maana hata kwetu Iringa nimeenda hivi karibuni bila 300000 hupati hata eka wakati enzi zangu najitafuta eka ilikuwa 50,000 to 100000hata sasa hivi kuna sehemu ukiwa na elfu 30 unapata acre moja, kuna siku siku wajukuu zako watashangaa kwanini babu hakununua acres 100
Sio wote walikuwa wazembe. Mfano mikoa mingi ilikuwa haina miundombinu ya kusafirisha bidhaa hivyo hata ulime vipi utakula mwenyewe. Watu hawakuwa wengi sana kama sasa chochote unaweza kuuuza.kutetea uzembe
Hadi sasa ardhi iko nyingi nchi hii, Anza wewe kutafuta ardhi uokoe kizazi chako, acha lawama, generation yao imeshapitaKizazi cha miaka ya 1950 -1970 amabao ndo wazazi wetu walikuwa ni kizazi cha watu wazembe.
Kizazi hiki ndo kizazi ambacho kimekufa na ukimwi kwa kupenda Sana ngono.
Kizazi hiki ndo kizazi ambacho kinatoa vitisho vya laana .
Kizazi hiki ndo kizazi ambacho hakina maendeleo ya kijamii, kiuchumi na kiakili.
Kizazi hiki ndo kilishikilia dini na kusahau mila za babu zetu.
Kizazi hiki ndo kizazi cha laana starehe zote kilikuwa kinaendekeza wao.
Zamani ardhi kupata ni sawa na bure Ila unakuta mzazi hana ardhi anayomiliki.
Nenda handeni, kilwa, liwale, ruangwa, lindi, katavi , tunduruMkoa gani huo mkuu?? Maana hata kwetu Iringa nimeenda hivi karibuni bila 300000 hupati hata eka wakati enzi zangu najitafuta eka ilikuwa 50,000 to 100000
Tuanze na wewe kama wazazi wako tayari wamefeli kupata ardhiKulea haujui kuwa ni sehemu ya majukumu yako.
Unapozaa mtoto unategemea nani akusaidie kulea .
Don't decline ur responsibility
wewe una ardhi?Kizazi cha miaka ya 1950 -1970 amabao ndo wazazi wetu walikuwa ni kizazi cha watu wazembe.