Zamani watoto waliosoma primary english medium walikuwa wanaishia la sita wanarushwa form one. Leo hii la 7 wanalazimishwa kusoma pre form one. Why?

FRESHMAN

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2011
Posts
9,646
Reaction score
36,604
Habari wadau.

Binafsi najiuliza sana. Why now days shule binafsi nyingi zinaweka masharti ya mtoto kusoma pre form one kwao. Kabla hata hajaanza form one.

Na hapo unakuta hao watoto wametoka kusoma english medium primary schools.

Kweli mtoto aliesoma mtaala wa kiingereza kwa miaka saba anahitaji pre form one kweli ?

Huko pre form one huwa wanawafundisha nini ?

Mbona ST FRANCIS haina utaratibu wa wanafunzi wake kusoma pre form one, na ndio shule inayokimbiza miaka na miaka. ?

Wadau naombeni mnieleweshe hili maana nashindwa kuelewa.
 
Wahuni hao wanataka pesa tuu
Dawa ni kuwafungia vioo
 
LIKUD
 
Wapi huko wanalazimishwa mkuu.

Huo utaratibu wa pre_form one najua upo kwenye baadhi ya seminary za kanisa katoliki
 
Bado wanaendeleza huo unyonyaji?

Sasa mtoto aliyesoma English medium pre form one kwake ya kazi gani? Akajifunze vitu alivyosoma std 7?

Hii nchi utapeli kila sehemu..!!
 
Binafsi najiuliza sana. Why now days shule binafsi nyingi zinaweka masharti ya mtoto kusoma pre form one kwao. Kabla hata hajaanza form one.
Ni kweli hujui sababu? Hio ni biashara inatafutwa kila namna kupata hela zaidi.
 
Kwanza nikupongeze sana mleta uzi huu. Hii kitu imezidi shamiri sana na wanalazimisha hivo kwa kusema usipompeleka pre form one hatuchukuliwa January. Kibaya zaidi hawa watoto unakuta mwaka mzima darasa la saba wamekuwa shule na siku hizi wameanzaisha lazima boarding na masaa kwa siku zaidi ya nane na hapo ada lazima ukutane na kitu kizito maana utaambiwa kuna boarding , kula chakula, masomo ya ziada n.k. Hawa watoto wanahitaji pata muda wa kupumzika ili kukuwa kiafya.Sasa fikiria mtoto kamaliza la saba september anakaa wiki anatakiwa pre form one unategemea atakuja penda shule huko mbeleni. Ni kuwachosha watoto kiafya. Yote haya ni tamaa za kutaka kupata pesa hizo shule hakuna cha ziada.
 
Back
Top Bottom