Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
ZAMANI WAZAZI WALIUZA BINTI ZÀO KWA KILE KIITWACHO MAHARI. KWA SASA NI MILA POTOFU NA BIASHARA HARAMU.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
Kuuza na kununua binadamu ilikuwa biashara halali Miaka ya Nyuma kidôgo.
Biashara ya kuuza na kununua binadamu ilikuwa kwa namna tofautitofauti.
Binadamu waliouzwa walikuwa kama Ifuatavyo;
1. Mateka wa vita.
2. Watumwa
3. Wanawake
4. Wafungwa.
Binadamu yeyote aliyepoteza Sifa ya kuwa Mtu aliuzwa Kwa sababu Mtu hauzwi na utu haununuliwi. Binadamu aliyepoteza ÛTU wake huwa Sawa na Mnyama au Bidhaa Fulani tuu. Ndîo maana huuzwa Kwa kuthaminishwa.
Wanawake waliuzwa Kulingana na thamani walivyothaminishwa na wauzaji na wanunuzi waô.
Wazazi walishiriki katika kuuza mabinti zào Kwa neno fiche kuficha uharamu wa biashara Yao. Wakaita Mahari.
Walikuwa na sababu za kuanzisha hiyo biashara. Kwa Wakati ule mabinti au Wanawake hawakuchukuliwa kama Watu Kamili hivyo kumuuza Mwanamke haikuwa tatizo.
Sababu kuu za Wazazi kuuza mabinti zào zilikuwa kama Ifuatavyo;
1. Binti kuhamia ûkoo Mwingine.
Binti alipouzwa na Wazazi wake kwenda ûkoo Mwingine hakuwa na ruhusa ya kurudi nyumbani tenà. Waliomnunua ndîo wanakuwa wanammiliki. Hivyo kumuuza Binti waliona ni Halali Kabisa kwani hatakuwa sehemu ya Ukoo waô.
2. Watoto watakaozaliwa na Binti watakuwa ûkoo wa Mwanaume(Mnunuzi)
Yàani tukupe Binti yetu bure, thubutu. Akakuzalie burebure kweli. Wakaona hiyo haiwezeniki Bora biashara ifanyike. Ndîo Mahari ikawa Suluhu.
Mnunuzi aliweza kununua Wanawake wengi zaidi na kuwafanya Wake Zake kadiri ya uwezo wake. Kwa sababu ishu kûbwa siô UTU Kwa sababu Mtu hatolewi mahari yàani hanunuliwi.
Hivyo Mwanaume hatakuwa na mûda WA kufikiria kuhusu maumivu ya Mwanamke aliyemnunua kwamba akinunua Mwanamke Mwingine huyu wa Kwanza atajihisi vipi.
Ndîo maana kwèñye jamii imejengeka kasumba au dhana potofu kuwa Wanawake kuolewa wengi siô tatizo Wakati kiuhalisia ni tatizo ila Kwa vile biashara ilifanyika hawezi kuwa sehemu ya mjadala kupinga maamuzi ya aliyemnunua.
Ng'ombe au mbuzi haiwezi kujadili chochote inaponunuliwa au kuuzwa. Hiyo ni zamani.
Hata Ndoa za mitala yàani Wake wengi ni Kwa sababu ya kile kiitwacho Mahari. Bila mahari Hakuna Ndoa za wake wengi.
Mahari sio mapenzi bali NI suala la biashara.
Mwanaume àmbaye NI Mnunuzi anaenda Nyumbani Kwa Binti na kukubaliana malipo ya kumchukua Binti.
Wazazi humthaminisha Binti Yao kuona kama thamani yake ni ngapi Kulingana na vigezo watakavyoona.
Mathalani, Binti Bikra bei yake huwa juu tofauti na Binti aliyetumika.
Binti Mrembo labda Kulingana na vigezo vya jamii Husika labda mweupe bei yake ya kumnunua huwa tofauti na Binti weñye rangi zingine. Hiyo NI business.
Mnunuzi àmbaye ni Mwanaume naye hupima kiwango alichotajiwa na thamani ya anachokinunua na uwezo wake je vinaendana. Akiona haviendani huweza kughairisha kumnunua
Au wauzaji àmbao ni wazazi wakiona bei iliyotajwa na Mnunuzi haijfikia kiwango cha waô kuridhika huweza kukataa kumuuza Binti Yao.
Binti huweza kuuzwa Kwa kubadilishwa Kwa Ng'ombe Watatu kuendelea, Wengine huuzwa Kuanzia lakini tano mpaka mamilioni ya mapesa. Hiyo ni Kulingana na thamani ya Binti na uwezo wa Yule anayemnunua.
Sijui Kwa kweli, lakini Wanawake weñye Akili huweza kujihisi vibaya wakigundua kuwa waô thamani Yao yàani WALIUZA Kwa Milioni Moja huku kûna Wanawake wenzao waliouzwa Kwa Milioni Kumi mpaka ishirini. Kumaanisha waô thamani Yao Ipo chini.
NI kama Simu ya iPhone macho matatu thamani yake ulinganishe na Simu ya Tecno.
Kwa Sasa biashara ya kuuza na kununua binadamu ikiwemo kununua Wanawake haina maana tenà Kwa sababu Wanawake wàpo kwèñye mabadiliko ya kuwa WATU. Yàani wanaotaka Haki ya UTU waô kulindwa.
Unatoa mahari alafu ulipomnunulia Mwanamke bado wanakuwa na connection na Binti Yao na wanakuwa na Mamlaka naye kumaanisha Ile mahari yàani Ile biashara ilikuwa batili. Yàani walichukua Pesa au Mali zako burebure.
Unamnunua mwanamke alafu naye anamamlaka ya kuamua kukuacha na mkiachana mnagawana Mali na ukileta mchezo anachukua na Watoto.
ZAMANI ukimnunua Mwanamke yàani Kutoa Mahari akitaka kuondoka au ukimfukuza haondoki na kitu chochote ikiwemo Watoto.
Anaondoka kama alivyokuja.
Mwanamke unamnunua alafu hataki ununue Wanawake Wengine kwani yeye anawivu. Sijui kama anaelewa mantiki au Kanuni za manunuzi Kwa Kile kiitwacho desturi ya Mahari.
Wivu unalenga Watu weñye Ûtu na siô binadamu aliyenunuliwa. Yàani mtumwa.
Ukikubali Kununuliwa au kuuzwa Huna Mamlaka ya kumwambia Mnunuzi asinunue Mwanamke Mwingine Kwa sababu kiutamaduni kuwa na Wake wengi pia ni Mila n desturi.
Mwanamke àmbaye hajanunuliwa anahaki ya kuondoka na kukataa kuongezewa Mke Mwingine Kwa sababu yeye NI mtu na siô mtumwa. Hakununuliwa hata shilling Moja. Hakutolewa Mahari.
Kwa Sisi Watibeli, Binti zetu wàpo Huru. Wana Utu ndîo maana hatuwauzi Wala hawanunuliwi Wala kununulika. Mahari kwetu NI HARAMU kwani inalenga kumpa Haki Mwanaume kumfanya Mke mtumwa wake Kisa na mkasa alimnunua.
Mimi Acha nipumzike sasa
Nawatakia maandalizi mema ya Sabato
Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa Sasa Dar es salaam