Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 30,567
- 86,748
Sasa mbona umesahau kuliongelea na hilo suala la mke na watoto kutumia majina ya mume, kama mahari itabatilishwa basi na huo utamaduni wa kutumia majina ya mume pekee nao ubatilishwe, mke atumie majina yake na watoto watumie majina ya koo zote mbili ili kusudi kusiwe imani ya kuona kwamba ukoo mmoja ndio unaendelezwa huku mwingine ukipotezwa