Wazazi wenye akili timamu hawawez kuchukua mahali
Sasa mbona umesahau kuliongelea na hilo suala la mke na watoto kutumia majina ya mume, kama mahari itabatilishwa basi na huo utamaduni wa kutumia majina ya mume pekee nao ubatilishwe, mke atumie majina yake na watoto watumie majina ya koo zote mbili ili kusudi kusiwe imani ya kuona kwamba ukoo mmoja ndio unaendelezwa huku mwingine ukipotezwa
Tafuta pesa wewe bwege pesa za mahari ni kipimo cha kukupima kama waweza lea mkeWazazi wenye akili timamu hawawez kuchukua mahali
Mahari inaleta uzito kwenye ndoa. Hakuna kitu cha bure kimewahi thaminiwa hata siku moja.
Hata ukiokota hela hapo utatumia vibaya kwasababu hujatolea jasho, is a nature
Yeye mwenyewe mleta mada kuna mashaka jinsia yake au alivyo kutwa yeye nyuzi zake kuandika mambo ya kike wakati ana jina la kiumeSema wewe jamaa una utoto mwingi sana. Watu kama nyie ndo huwa mnatetea mapenzi ya jinsia moja kwa kudai kila mtu awe huru na mwili wake. Ulichoandika ni upumbavu mtupu.
Tafuta pesa wewe bwege pesa za mahari ni kipimo cha kukupima kama waweza lea mke
Hela ya mahari tu huna huyo mke atakula mavi?
Interview ya kwanza kukuangalia kama pesa ya kulea mke ipo ni mahari
Hapana mkuu,asanteNije nikutolee Mahari?
Huenda ameshaleft groupYeye mwenyewe mleta mada kuna mashaka jinsia yake au alivyo kutwa yeye nyuzi zake kuandika mambo ya kike wakati ana jina la kiume
Pole kwa wazazi wake kwa kweli
Hii ni biashara haramu na haitakiwa kabisa na ni dhambi kubwa mno.
Binafisi Mimi nitaipokea mahari kama kawaida huwezi mchukia binti yangu Bure ukajisavie utakavyo hii haipo.
Mimi mwenyew nimetoa mahari halafu Mimi nisipokee mahari nitakuwa mwehu ama nimerogwa.
Andiko lako lipo sawa Kwa Kila mtu atakavyo amua.
Kwa Elimu yangu hii dongo nakumbuka biashara ya utumwa ilifanyika Kwa lazima yaani utake usitake unaswagwa kwenda kuuzwa na hujui utanunuliwa wapi nk
Mwanamke anakuwa anajua anaenda Kwa family ya nani ana anaolewa na nani na wamepatana wao kwanza na wakakubaliana wao kama wao.
Hapana mkuu,asante
Sasa kwanini kwenye suala la majina ni mpaka upendo uamue kwanini isiwe kama sheria tu, kwamba mahari ifutwe na ni lazima watoto watumie majina ya koo zote mbili kama wanalelewa na wazazi wote wawili, na kama wanalelewa na mzazi mmoja basi ndio watumie jina la ukoo wa mzazi anayewalea na si lazima wa baba tuSio lazima Mtoto achukue Majina ya upande wa Mwanaume au mwanamke .
Upendo ndîo utaamua.
Lakini tukija kwèñye suala la biashara mwenye kugharamika zaidi yàani mwenye hisa nyingi ndiye majina yake hutumika.
Niliwahi andika pia, Watoto waliolelewa na upande WA kiukeni(ujombani) wachukue Majina ya ujombani full stop.
Hamna kitu kama hicho mkuu
Sema wewe jamaa una utoto mwingi sana. Watu kama nyie ndo huwa mnatetea mapenzi ya jinsia moja kwa kudai kila mtu awe huru na mwili wake. Ulichoandika ni upumbavu mtupu.
Mahari sio bei ya kununua mtu hizo elimu mnazosoma kijinga jinga za kukariri ndizo zinekufikisha hapo ukasoma kakingereza bride price unakuja wangu wangu na mada ya kijingaWewe mahari yako uliyotoa Milioni Mbili ndîo ukajiona ulitafuta Pesa?
Kûna Wanawake wamenunuliwa Kwa Laki tano nayo utasema Mtu atafute Pesa yàani hako kalaki tano?
Kûna Wengine laki tatu mahari utasema Mtu atafute Laki tatu ili anunue Mtu?😂😂
Sasa kwanini kwenye suala la majina ni mpaka upendo uamue kwanini isiwe kama sheria tu, kwamba mahari ifutwe na ni lazima watoto watumie majina ya koo zote mbili kama wanalelewa na wazazi wote wawili, na kama wanalelewa na mzazi mmoja basi ndio watumie jina la ukoo wa mzazi anayewalea na si lazima wa baba tu