Robert upo sahihi tena sana bt nashangaa watu wanapinga, Logically upo sawa kabisa.
Ninachoona ni kwamba watu tunapenda kujidanganya na kujizungusha wee lakini ukweli ni huo.
Mwanamke anaetaka haki sawa kwenye ndoa basi asikubali kutolewa mahali unless ajiandae kwa lolote lile mnunuzi atakalo amua kwenye ndoa.
Kama amenunuliwa na ndoa itamshinda basi arudishe pesa ya watu ili kununua uhuru wake tena.