Zamaradi acha kumfananisha Billgate na Mtoto wa Kajala, Unampotosha

Wewe ndio umefeli kumuelewa Bill gates

Jamaa hakufeli [emoji1][emoji1][emoji1]

Mbona Mambo yako wazi sema umeamua kushikilia msimamo Ila mjadala uendele una propose motion katika debate [emoji1][emoji115]

Ila ukweli unaujua Bill gates hakufeli chuo aliacha kwa sababu zake .
 
Sina haja ya kuweka. A simple google search will give you all the details about Bill Gates' time at Havard, ndio maana watu wanakushangaa unaposema alifeli. Mimi kwenye mambo ya Zamaradi simo.

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Unasema aliDrop then unasema Ali Fail chuo mbona hueleweki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…