Zamaradi acha kumfananisha Billgate na Mtoto wa Kajala, Unampotosha

Ndo nilichomaanisha, watu huwa tunachanganya sana mambo, tunafananisha magenius na mabolizozo, ni bora akamfananisha na diamond ambaye sijui hata km alienda shule yoyote ila anaishi maisha bab kubwa, huyo ndo wanafanana naye,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Zamaradi andishi zake kwa insta ndo anaona anajua kila kitu. Aache kufananisha uhalisia na maisha ya Instagram na Facebook

Bill Gates ni level nyingine
 
Waambie walahi

Sent using Jamii Forums mobile app

Wabongo tunapenda sana kufarijiana vitu vya kipumbavu.Hakuna anaebjsha kufeli shuke sio kufeli maisha lakini ukija na takwimu za ukweli watu waliofeli maisha hapa bongo asilimia kubwa ni haohao wasio na shule na asilimia kubwa ya waliofaulu maisha ni hao wenye shule. Hizi mambo za kuchukua mifano michache na kuwapa moyo wadogo zetu tunakosea mno.Tena mifano yenyewe ya uwongouongo


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Bill Gates ni genius aliyebishana na mwalimu, na alichokuwa akikiamini ndo kilichokuja kumfanya akawa Bilionea, sasa mtoto wa Kajala yeye anaujiniasi wa kuuza papuchi au kucheza movie au kuchati kwenye mitandao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha kutetea ujinga, nyie ndo mnaona kuwapa simu watoto wa sekondari ni kuwasaidia naendane na usasa kumbe mnawaharibu, we jiulize binti anasoma sec anasimu anaongea na nani? Muda gani ataweza kusoma kwa bidii na kuacha kuchati na kusoma imbea? Labda kama wewe hujafikia umri wa kuwa na familia lakini nikwambie tu ni aibu ukiwa na mtoto akafeli mtihani hata confidence kwa marafiki zako unakuwa huna.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bashite hajui kitu kinachoitwa kufaulu maishani mwake lakini leo hii ana sauti kuliko mkuu wa nchi.. So , dogo apambane tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Subiri mwanao afeli halafu uje uambiwe eti bill gates nae alifeli halafu uone utajisikiaje. Kwahiyo mnataka kutuaminisha mtoto aliyeongoza Tanzania nzima hawezi kuwa bilionea?!

Tatizo ni mastaa kuwaweka watoto wao kwny mitandao bila kutilia mkazo kwny elimu zao halafu hawa watoto wakiwa huko shuleni wanajifanya wao maarufu wanasahu kuwa kuna necta.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwanao kama hana akili hata ukimnyima smartphone atafeli tu.
Lakini kama ana akili atajua muda gani atumie simu na muda gani asome.
Hii ni personal experience sio hadithi za kufikirika.
Nakubaliana na wewe kufeli ni kubaya.
 
Afu eti mtu anakushauri na upotezee shule huku akifananisha Billgate kuacha shule na akatoboa, mnaowashauri madogo kumbukeni kuwa Billgate aliacha Super Vasity in the World "HARVAD UNIVERSITY" na sio St kayumba hizi ambazo tunahangaika nazo cc, elimu na pesa na Utajili ni vitu viwili tofauti kabisa, sjui ni kwa nn hata wasomi wanaoshauli wanashindwaje kutofautisha hizi nyanja mbili ,
Elimu =|= Utajili, havina uhusiano, Elimu isifananishwe na ukwasi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Kilichomponza ni hayo mashauzi yake na u star basi.
 
Hivi huyo Bill gate angezaliwa afrika angekuwa hivyo alivyo na hizo akili zake?

Mkuu intelligence mtu huzaliwa nayo na huwa affected mno na genetics ila knowledge huipata duniani na ni factor ya environment. Sasa wabongo wengi tunavichanganya hivi viwili . Wewe ulivyosema akili ulimaanisha nn?


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Watu wanasema Bill gate alikuwa genius,hivyo mie nalimaanisha huo ugenius wake.
 
Huyu dem akili yake ipo chini sana....ajifunze kutofautisha mambo ya nyakati
 
Hivi huyo zama anajua bill gates aliongoza state nzima ya Washington in mathematics..

Sent using Jamii Forums mobile app
Hana idea....wakishasimuliwaga story ... basi wanaidaka juu juu kanakwamba wanaijua in and out alafu pia ajifunze kutofautisha MTU mwenye akili na ambitions aliyeacha shule kwa hiari yake, na mtu mjinga wa darasani...hv ni viumbe viwili tofauti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…