nzagambadume
JF-Expert Member
- Apr 9, 2018
- 2,430
- 5,779
Huu uzi, ni mfupi lakini ni ushindi mkubwa sana kwa ma Erudite wachache tuliobaki nchi hii. Otherwise tukiwachekeachekea hawa watu wanaoitwa mastaaa na wanasiasa kuna siku watakuja na mauongo mabaya zaidi.
Hata Nyerere alisema mtu akikuambia jambo la kipumbavu na wewe ukalikubali basi wewe ni mpumbavu zaidi na atakuwa anakudharau.
Mtu kaitisha press conference katangaza kwamba ka produce movie kwa 200 millions. Waandishi wetu nao bila kuchuja fake news hata kucheck kwenye google haswa ukichukulia tunaambiwa ni movie international nao wakakimbilia kusambaza fake news.
Jana tuliokataa kufanywa wajinga tukakaza kwamba ni movie ya 2017 na ilishazinduliwa, leo naona watetezi wake wanasema yeye ni producer kwa upande wa TZ? KIVIPI?SCENE MBILI ZA KINA AUNTIE EZEKIEL ZIMEGHARIMU MILIONI 200? KAMA ILISHATOKA 2017 NYIE MANACHOTOA NI NINI TENA? REMAKE AU REMIX?
NASHUKURU UJUMBE UMEFIKA angalia hapa dada anavyomsahihisha yule jamaa tata wa mjini kwamba ipo kwenye Youtube Channel ya producer John Kay. Kwahiyo dada cha kufanya set the record straight, waambie mashabiki zako kwamba WEWE SIYO PRODUCER WA HII KAZI NA HUJATUMIA MILIONI 200 na wala hujatumia hata sh milioni 2 kwa hizo scenes mbili mlizofanyia remix.
Najua hapa kuna sponsors wanasetiwa waweke hela ya uzinduzi bongo wa mara ya pili wa Remix hii kali kabisa.