nzagambadume
JF-Expert Member
- Apr 9, 2018
- 2,430
- 5,779
- Thread starter
- #41
jamani mkiwa na uongo shallow shallow msiwe mnakuja huku JF walikimbiaga wengi tu wapo instagrama wanajaza watu ujinga
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapa chini ndicho Zamaradi ameongea:-
Sasa ni nani ameumbuka?!
Nimekuuliza maswali 3 na hakuna hata moja ulilojibu!
Angalia mwingine huyu! Hebu msaidie huyo mwenzako ni wapi Zamaradi aliposema hiyo filamu ni yake na kwamba ametumia Sh. 200M?!
Mimi ninachotaka kujua ni vipi Majina ya Wema na Aunty yapo hata kwenye IMDb ya tangu mwanzo kama wamekuja kuungwa baadae?
HATA MOVIE ILIYOKO TUMBONI KW A MAMA MJAZITO IIITWAYO BLUE MAURITIUS ,IDRIS SULTAN YUPO HADI LEO WANAHANGAIKA KUTAFUTA PRODUCER WA KUWAPA DOLLAR MILIONI 17 PROFILE YAKE IPO IMDB,IMDB NI KAMA WIKIPEDIA,AU NITENGENEZE PROFILE NIKUWEKE MAYDAY KAMA MAIN CHARACTER?SALAAM HIZI TOKA KWA NZAGAMBA DUME MUAMBIE DADA YAKO RAFIKIYE NZAGAMBADUME ANAPEPERUSHA FLAG AHATA KAMA ALIMSHTAKI AKAPIGWA BAN.Mimi ninachotaka kujua ni vipi Majina ya Wema na Aunty yapo hata kwenye IMDb ya tangu mwanzo kama wamekuja kuungwa baadae?
Wapi nimesema zamaradi kasema movie yake ? Ye c Ndo anajifanya marketing manager why atoe maelezo ya uongo kuhus hyo film ? Hao akina wema wamepachikwa Hawapo kwenye real movie ya cops enemy hata poster original ya movie Hawapo in short wamechakachua ili wawaibie wabongo nawaambien mmefeli wachawi nyie , tengezen movie zenu za budget ya mil 6 nyie hamna hadhi ya kuingia Netflix mmeambiwa huko choon kila mtu anaingia mxieew
Sent from my iPhone using JamiiForums
Netflix na bongo movie he he hemyplusbee
UNAJUA KWENYE ILE TEASER AMEWEKA LOGO YA NETFLIX KIMAKOSA?NIKIAMUA NITAWAFOWADIA NETFLIX WAMNYOOSHE VIZURI KWA KUCHEZEA LOGO YAO
MAGAZETI YAMERIPOTI NA INSTA WAMERIPOTI KWAMBA AMETOA MOVIE KWA GHARAMA YA MILIONI 200 KWA NINI ASITOE STATEMENT KUONDOA MKANGANYIKO?
Ukihitaji filamu yako iingie IMDb nitafute nikuelekeze.Mimi ninachotaka kujua ni vipi Majina ya Wema na Aunty yapo hata kwenye IMDb ya tangu mwanzo kama wamekuja kuungwa baadae?
Kwamba umeandika email NETFLIX?WATU WEEEEEEEE,MKISHIKWAGA MNDAIGI NI WIVU,UNGEKUWA MUUNGWANA UKACHUTAMA YASINGEFIKA HUKO NETFLIX,HILI NI SOMO SIKU NYINGINE MSIDANGANYE KINDEZINDEZI
Mkuu nguvu unayoitumia hapa, ungeelekeza kwenye kujibu swali.WATU WEEEEEEEE,MKISHIKWAGA MNDAIGI NI WIVU,UNGEKUWA MUUNGWANA UKACHUTAMA YASINGEFIKA HUKO NETFLIX,HILI NI SOMO SIKU NYINGINE MSIDANGANYE KINDEZINDEZI
UmeonaaaHuyu dada amekaa kiujanjajanja. Kuna siku alishawahi kutangaza shindano la scriptwriting, mimi na wewe hatujui liliishia wapi.
Umeonaaa
Kwenye msiba wa Anna Zambi anasema anaomba amlee Anna akae naye amepiga hesabu akaona michango mingi
Ni opportunist kwani Anna hana ndugu Mama yake mdogo amesema anamchukua kumlea Zama anataka achukue nafasi ya mama mdogo hahaa kichekesho
Zama na mtishia watu na bostola ukae na yatima huyu inawezekana kweli?! Mlee mumeo tupunguzie kelele bana
Mkuu, nahisi leo account yako imedukuliwa.Umeonaaa
Kwenye msiba wa Anna Zambi anasema anaomba amlee Anna akae naye amepiga hesabu akaona michango mingi
Ni opportunist kwani Anna hana ndugu Mama yake mdogo amesema anamchukua kumlea Zama anataka achukue nafasi ya mama mdogo hahaa kichekesho
Zama na mtishia watu na bostola ukae na yatima huyu inawezekana kweli?! Mlee mumeo tupunguzie kelele bana
We mbona umelibeba hili kwa ngv zote MNUFAIKA NINI?Angalia mwingine huyu! Hebu msaidie huyo mwenzako ni wapi Zamaradi aliposema hiyo filamu ni yake na kwamba ametumia Sh. 200M?!
Unapenda sana muvi eeh?..umeumia kweli aisee.utakuwa mgeni na mimi,issues zote za watu kugeuza Watanzania ni wajing huwa napambana nazo,ilishakuja fake news hapa wakajifanya gazeti la Ghana,wakaficha had contacts kumbe ni blog ya hapo mnazi mmmoja,nilikommaa nayo lakini ilikuwa too late maana hadi gazeti la mwananchi walisha publish,sembuse ya huyu bibiye?yaani tudanganywe tu tunyamaze?
Nimeangalia ratiba ya mwaka mzima huu NETFLIX haipo kwenye ratiba.
hivi hadi sasa Zamaradi haoni aibu KUSEMA KWAMBA AMEFANYA REMIX YA MOVIE YA 2017 NA KUITA PRESS CONFERENCE BAADA YA KUONGEZA VIJIPANDE TENA INASEMEKANA INALETA MAPINDUZI BONGO?
Ukiona nachelewa kujibu siyo kwamba sina facts au nakuogopa, ni kwamba hapa na draft e mail ya kwenda netflix waliyopachika kwenye teaser sijui promo ile.
[/QUOTE
Kha!