Zamaradi acha uongo na utapeli, hujaproduce hii filamu wala kutumia milioni 200!

Shilingi milioni 200 hata $100,000 haijafika.

Kwa viwango vya kimataifa hiyo ni low end ya low budget movie.

Yani ile movie mna shoot ndani ya nyumba tu mnapiga story mwanzo mpaka mwisho, hamna kitu kinalipuka, hamna magari yanakimbizana, hamna risasi zinapigwa, hamna moto, hamna aliens.

Movie kama mchezo wa kuigiza.
 
Hili jamaa ni jitu la ajabu! Yaani kaanza kukomaa na hii issue tangu jana wakati anayosema yote ni uongo!!
Sema nn bro shambulia hoja usimshambulie mtoa hoja
Kwamba hili jamaa shamb sijui halijui kitu siyoooo... Wote kuna vitu mnavyo mnatofautiana padogo tu.
 

Mbona Kama una hasira ndugu? Tukiacha hili una ugomvi mwingine na huyu binti wa watu?
 
Kweli Bw. Ruge katuachia mambo, wengi walikuwa wanatamba kupitia mgongo wake huku wakijidai wanajitegemea, kumbe ndorobo kabisa...
 
Haya nimekuja kuwasaidia kupata reference vizuri ili muweze kutoa conclusion na mim nielewe maana sielewi kabisaaaa
 
Angalia mwingine huyu! Hebu msaidie huyo mwenzako ni wapi Zamaradi aliposema hiyo filamu ni yake na kwamba ametumia Sh. 200M?!
Nime enda kwa Zama amenijibu njoo uone alafu utusaidie ufafanuzi tafadhali [emoji120]
 
Sema nn bro shambulia hoja usimshambulie mtoa hoja
Kwamba hili jamaa shamb sijui halijui kitu siyoooo... Wote kuna vitu mnavyo mnatofautiana padogo tu.
Umefuatilia huu mjadala au umeongea tu!!! Mwanzoni tu mwa mjadala mimi niliweka video ya clip ya Zamaradi akiongea mwenyewe kwa kinywa chake! Baada ya jamaa kumbana na kumwambia na yeye atoe video clip (na sio habari za Instagram) inayomuonesha Zamaradi akiongea hayo anayosema yeye, akaishia kujibu hivi:-
na kwenye teaser ukaweka kwamba mapinduzi ya kibongo ,inaingia netflix siyo?
Baada ya kuendelea kumbana, akaja na hili:-
WATU WEEEEEEEE,MKISHIKWAGA MNDAIGI NI WIVU,UNGEKUWA MUUNGWANA UKACHUTAMA YASINGEFIKA HUKO NETFLIX,HILI NI SOMO SIKU NYINGINE MSIDANGANYE KINDEZINDEZI
So, kwako wewe ndo hoja hizo?! Yaani nampa changamoto, badala ya kujibu changamoto, ananiita mimi ndo Zamaradi!!!

Ajabu zaidi, na mwenyewe unakuja na staili ile ile:-
We mbona umelibeba hili kwa ngv zote MNUFAIKA NINI?
Kama sio hoja ya hovyo tuite nini?! Unaonaje basi na wewe ungejibu hoja badala ya kuniongelea mimi personally?! Btw, ni mgeni wa mijadala, au ni kushindwa kufahamu maana ya mijadala?! Au hufahamu kwamba kwenye public forum pakiwekwa mada lazima watu wachangie?!

Acha ushamba!!
 
ikitoka hiyo movie ya kimataifa mni tag jameni?kuna makampuni hapo yalitaka yapigwe uzinduzi ila siku hizi hali ngumu siyo kiboyaboya hivyo
 
Hahahaha haya mjanja wa mijadala nisamehe.
 
MWISHO WA UBAYA NI AIBU TU
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…