Zamaradi ambwaga Bosi wa Clouds, aolewa na mwanaume mwingine!!

Mpka wiki iliopita Tu nimeona Na kuskia mahaba yake Na ruge......sasa ni kwamba alikua anamuenjoy tu mda wote ule? Bs ni noma
 
Tupe picha yake huyo alomuoa mbona unamficha sura baba juju
 
Duuuhh naomba Tu mkuu asije akaotesha kibarua cha watu nyasi za ukoka......mana najua lazma kaumia moyo
 
Labda ruge anakibamia ndo mana amekimbia
 
Ila wanaume tuna tofautiana yaani kijana hata 40 haujafika unaoa mwanamke mwenye watoto 2 na mwanaume mwingine na unaamini ndoa itakua na furaha na amani, ana roho ngumu huyu dogo
Ila imani wakati mwengine inachangia,huyo anajua anytime anywhere anachapa talaka maisha yanaendelea sasa wale wa hadi kifo kiwatenganishe ni wachache wanaojaribu hili.
 
Mwanamke sina tatizo na kuwa na furaha! Je mwanaume atakua na amani?
Angeona amani ni mtihani asingemuoa in the first place..... utakua mwanaume suruali kujibeba kutoa posa mpaka harusi sehemu ambayo unajua kutakua na figisu (lazima use ni mwanaume kiumri na mvulana kiakili) lakini hao ni Muslims yakimshinda talaka in a minute... angekua akina sie ndo angeonja joto ya jiwe.
 
Hiyo akili unayo wewe kuna watu nyege zinawapeleka vibaya anaweza kuoa hata changudoa
 
Tatizo hapa haikuwa kingine zaidi ya ndoa, hii issue ya zamaradi na Ruge ilikuwa kama ya diamond na Hamisa.
Nakumbuka Ruge naye alitaka kuifanya siri, mpaka Zamaradi alipoamua kuirusha hewani, wengi walimzonga na wengine kumpongeza kwa kuliweka hadharani.Naona mwanamke amechoka kuishi kisimbe😀
Kwa hawa viumbe kutovaa hilo gauni hata mara moja ktk maisha yao huwa kunawachanganya sana, basi tu huwa inabaki siri yao.
 
Ila wanaume tuna tofautiana yaani kijana hata 40 haujafika unaoa mwanamke mwenye watoto 2 na mwanaume mwingine na unaamini ndoa itakua na furaha na amani, ana roho ngumu huyu dogo
Inahitaji moyo wa chuma...hata mimi nlijiapisha kutokuoa aliyezaa na mtu.....ila ndo hivyo kupanga ni kuchagua!kimfaacho mtu chake[emoji12]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…