Zamaradi ambwaga Bosi wa Clouds, aolewa na mwanaume mwingine!!

Jamaa zembe sana badala ya kutafuta vitoto vibichi kabisa kitaa hata mimba havijatoa anaenda oa hyo mwenye watoto wawili kisha kesho anakuaga anawapeleka watoto kwa baba yao akawasalimie
Hata Yeye Jamaa Ana Pickup ya Watoto
 
Huwajui vizuri wanawake mkuu
Utakuta kaamua kuolewa kwa hasir, siku zikiisha na akapata changamoto kidoogo tuu atarudi, bahati mbaya anaingia kwarozi na mtu hatari sana soon utayasikia majuto yake tuu

Mifano yao ipo mingi mkuu ya wao kurudi nyuma
 
Mwanaume mjanja hawezi kutojua mwanamke aliyezaa, na wewe kama umezaa nadhani umenielewa
Kuna watu wana maumbo kama nyanya, wengine kama kitunguu. Hivyo, kuna mwingine hutamgundua kwa tumbo (flat), kwa boobs(hazilegei) wala chini hakujalegea. Huyo mpaka akwambie mwenyewe.

Mwanaume anayeweza kuhisi vimeliwa ni yule ambaye amewahi kugonga wote, waliozaa na ambao hawajazaa. Sasa kama una unyanyapaa kwa waliozaa huwezi kujua.
 
Ndo maana yake watoto wake hawanipi shida.nikimpenda nitawapenda na watoto wake
Umeoa? Tuanzie hapo maana naweza kuwa najadiliana na mtu ambae hajawahi kuona na kuziishi changamoto za ndoa! Unadhani kupenda watoto wa mwanamke tu inaleta furaha ya ndoa?
 
Ndio maana nikaandika mwanaume mjanja! Tumbo, uke, maziwa na ngozi lazima kuna kimoja kitakusaliti utajulikana tu
 
Mwanamke sina tatizo na kuwa na furaha! Je mwanaume atakua na amani?
Kwani alishikiwa bunduki muamuzi wa Mwisho si yeye, posa kapeleka na uzur dini ya kiislam unaenda nyumban kwa mwanamke sio mwanamke anaenda kwa mwanaume.
 
Hapa ndio utaamini wanawake wanapenda kuvaa gauni la harusi hamna mwanamke asiyependa kuolewa huwa wanazuga tu kujifanya hawataki ndoa kwa sababu hamna wa kumuoa
Utazini mpaka lini? Sio mwanamke au mwanaume wote wanahitaji ndoa Kwani Ndio utulivu wa nafsi zetu unakopatikana.
 
Sijui kama walizingatia suala la kupima Afya kabla ya Ndoa...
 
Hivi kwanini wadada munapenda sana kutembea na Maboss wenu mbona hamujifunzi?.
Hakuna anayependa kutembea na bosi wake,,bali wanapewa mazingira magumu, ,masharti magumu na vishawishi mpaka BUMUNDA LINALIWA mkuu....tena huyo zamaradi ndy official inajulikana alikuwa na uhusiano na RUGE...lakini wake zetu huko maofisini ni kama tumewaolea wao hao mabosi...na hii ni PROVED 100% no doubt...wanawala sana tu...ni wangapi wake zao hawawapi UNYUMBA kwa KISINGIZIO KAZI NYINGI? leo nimechoka sana mume wangu...UKISHA AMBIWA HIVYO ,,elewa ilikuwa zamu ya bosi KULA BUMUNDA LA MKEO....mkuu hawa wanawake tuwaache tu wafanye kazi...lakini ukiingia kwa undani unaweza ukaamua kumpumzisha kufanya kazi mkeo...
 
Kiporo huwa kinapashwa na moto mdogo......na mtalaka huwa hakumbushwi lakini anajua wajibu wake.....ruge ataendelea kukung'uta huo mzigo kila akitaka.

Huyo jamaa ameoa second hand tena ya kibongo ishatotoa mara mbili kabisa.

Masingo mama na ambao hamjaolewa ruksa kutoa povu lakini ukweli ndio huo. Hakuna ndoa hapo ni maigizo tu.
 
Kama hakuna anayependa kutembea na boss wake nenda kamuulize dj senorita leo akiombwa papa na kusaga tena bila shuruti atakataa au atakubali....
 
BF Bachela forever ruge tupo pamoja mpka kieleweke wanawake wapo wengi hv ukioa wengine nani atawatimizia mahitaji yao
 
Kama hakuna anayependa kutembea na boss wake nenda kamuulize dj senorita leo akiombwa papa na kusaga tena bila shuruti atakataa au atakubali....
Hujaelewa mkuu....jifunze kusoma uzi mzima...nimekwambiya vishawishi na pia mazingira ya kazi...hivi boss akikutaka ..ukakataa..unadhani nini kinafata kama sio kufukuzwa kazi?hakuna anayependa kuona ofisi nzima bosi anawachanganya..lakini hawana jinsi...kulinda maslai yao...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…