mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 42,209
- 51,004
Ndo maana yake watoto wake hawanipi shida.nikimpenda nitawapenda na watoto wakeKwako wewe furaha ya ndoa ni kugegeda bila bughuza tu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndo maana yake watoto wake hawanipi shida.nikimpenda nitawapenda na watoto wakeKwako wewe furaha ya ndoa ni kugegeda bila bughuza tu?
Hata Yeye Jamaa Ana Pickup ya WatotoJamaa zembe sana badala ya kutafuta vitoto vibichi kabisa kitaa hata mimba havijatoa anaenda oa hyo mwenye watoto wawili kisha kesho anakuaga anawapeleka watoto kwa baba yao akawasalimie
Huwajui vizuri wanawake mkuuRuge kutomuoa ni sababu moja wapo ya kumove on... tusiwe majaji tu kaka... huyu ni mtu maarufu hata litokee jambo halitofichika na ndoa hiyo talaka sio jambo gumu, muda utaongea.
Binafsi naona ndoa iliyo bora sababu zamaradi ni mwanamke smart plus nikijivalisha viatu vyake hayo maamuzi ningefanya muda mrefu ruge kamzalilisha sana sio mara moja lakini kavumulia mno kama ilivyo asili ya mwanamke "uvumilivu" mpaka kaamua kuondoka ujue haina kurudi nyuma.
Kuna watu wana maumbo kama nyanya, wengine kama kitunguu. Hivyo, kuna mwingine hutamgundua kwa tumbo (flat), kwa boobs(hazilegei) wala chini hakujalegea. Huyo mpaka akwambie mwenyewe.Mwanaume mjanja hawezi kutojua mwanamke aliyezaa, na wewe kama umezaa nadhani umenielewa
Umeoa? Tuanzie hapo maana naweza kuwa najadiliana na mtu ambae hajawahi kuona na kuziishi changamoto za ndoa! Unadhani kupenda watoto wa mwanamke tu inaleta furaha ya ndoa?Ndo maana yake watoto wake hawanipi shida.nikimpenda nitawapenda na watoto wake
Ndio maana nikaandika mwanaume mjanja! Tumbo, uke, maziwa na ngozi lazima kuna kimoja kitakusaliti utajulikana tuKuna watu wana maumbo kama nyanya, wengine kama kitunguu. Hivyo, kuna mwingine hutamgundua kwa tumbo (flat), kwa boobs(hazilegei) wala chini hakujalegea. Huyo mpaka akwambie mwenyewe.
Mwanaume anayeweza kuhisi vimeliwa ni yule ambaye amewahi kugonga wote, waliozaa na ambao hawajazaa. Sasa kama una unyanyapaa kwa waliozaa huwezi kujua.
Inaonekana jamaa anapenda kutiana gizani.Hatujui sura imefichwa tutaujua ukweli
Ndio maishaAiseee
Utazini mpaka lini? Sio mwanamke au mwanaume wote wanahitaji ndoa Kwani Ndio utulivu wa nafsi zetu unakopatikana.Hapa ndio utaamini wanawake wanapenda kuvaa gauni la harusi hamna mwanamke asiyependa kuolewa huwa wanazuga tu kujifanya hawataki ndoa kwa sababu hamna wa kumuoa
Hakuna anayependa kutembea na bosi wake,,bali wanapewa mazingira magumu, ,masharti magumu na vishawishi mpaka BUMUNDA LINALIWA mkuu....tena huyo zamaradi ndy official inajulikana alikuwa na uhusiano na RUGE...lakini wake zetu huko maofisini ni kama tumewaolea wao hao mabosi...na hii ni PROVED 100% no doubt...wanawala sana tu...ni wangapi wake zao hawawapi UNYUMBA kwa KISINGIZIO KAZI NYINGI? leo nimechoka sana mume wangu...UKISHA AMBIWA HIVYO ,,elewa ilikuwa zamu ya bosi KULA BUMUNDA LA MKEO....mkuu hawa wanawake tuwaache tu wafanye kazi...lakini ukiingia kwa undani unaweza ukaamua kumpumzisha kufanya kazi mkeo...Hivi kwanini wadada munapenda sana kutembea na Maboss wenu mbona hamujifunzi?.
DuhMbona bwana harusi anafichwa sura kama anaolewa yeye?
Kama hakuna anayependa kutembea na boss wake nenda kamuulize dj senorita leo akiombwa papa na kusaga tena bila shuruti atakataa au atakubali....Hakuna anayependa kutembea na bosi wake,,bali wanapewa mazingira magumu, ,masharti magumu na vishawishi mpaka BUMUNDA LINALIWA mkuu....tena huyo zamaradi ndy official inajulikana alikuwa na uhusiano na RUGE...lakini wake zetu huko maofisini ni kama tumewaolea wao hao mabosi...na hii ni PROVED 100% no doubt...wanawala sana tu...ni wangapi wake zao hawawapi UNYUMBA kwa KISINGIZIO KAZI NYINGI? leo nimechoka sana mume wangu...UKISHA AMBIWA HIVYO ,,elewa ilikuwa zamu ya bosi KULA BUMUNDA LA MKEO....mkuu hawa wanawake tuwaache tu wafanye kazi...lakini ukiingia kwa undani unaweza ukaamua kumpumzisha kufanya kazi mkeo...
Yupo yupo tu mtoto wa mjini. Hana elaHUYU JAMAA NDUGU WA WAZIRI MAJALIWA
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Nenda jukwaa la kilimo na biashara kuna fursa nyingi za Maendeleo.
Hujaelewa mkuu....jifunze kusoma uzi mzima...nimekwambiya vishawishi na pia mazingira ya kazi...hivi boss akikutaka ..ukakataa..unadhani nini kinafata kama sio kufukuzwa kazi?hakuna anayependa kuona ofisi nzima bosi anawachanganya..lakini hawana jinsi...kulinda maslai yao...Kama hakuna anayependa kutembea na boss wake nenda kamuulize dj senorita leo akiombwa papa na kusaga tena bila shuruti atakataa au atakubali....
Ni Serengeti boyMbona bwana harusi anafichwa sura kama anaolewa yeye?