Zamaradi ambwaga Bosi wa Clouds, aolewa na mwanaume mwingine!!

Zamaradi ambwaga Bosi wa Clouds, aolewa na mwanaume mwingine!!

Kuna watu wana maumbo kama nyanya, wengine kama kitunguu. Hivyo, kuna mwingine hutamgundua kwa tumbo (flat), kwa boobs(hazilegei) wala chini hakujalegea. Huyo mpaka akwambie mwenyewe.

Mwanaume anayeweza kuhisi vimeliwa ni yule ambaye amewahi kugonga wote, waliozaa na ambao hawajazaa. Sasa kama una unyanyapaa kwa waliozaa huwezi kujua.
Mambo yote gym siku hizi.
 
Mazingira mkuu....mm nilishawahi fanya kazi kwa wahindi fulani hapo zamani....kuna jamaa ana mkewe anamleta na kumchukuwa jioni kwa gari binafsi..basi yule mdosi akawa anakula yule mkewe jamaa BUMUNDA ,,,duu..sometimes jamaa akimfata mkewe anaambiwa yupo Godown kupiga stock taking...kumbe mdosi yupo nae kwake anamla tu...jioni anamrudisha ofisini ,,anakuta mumewe anamsubiri...yaani roho ilikuwa inaniuma sn tu..nikisema nimshtue msela ...nahofia kibarua changu du...wake za watu kwa mabosi wao hawajawahi kubaki salama
Hata hao wake wa mabosi wanabutuliwa na vijamaa hata kazi ya maana havina.. hapo ndio utajua dunia ni duara
 
Huu Uzi nimeshangaa reaction ya wanaume, mnamshangaa huyo kaka kuoa mwanamke aliezaa, hao wanawake wenu mnaojitamba nao hawajazaa mnajua ni kina mama wa maiti ngapi?

Aisee am puzzled!!! Kumbe mnafurahia kuzalisha wadada na kuwasubirisha huku nyie mkiendelea na maisha?

Jamani mimi sijazalishwa ila ingekuwa nimezaa naishi na mme alafu haeleweki ningeolewa kimya kimya kama hivi zama wewe dada akili zako kama zangu....
 
Ruge kutooa miaka nenda rudi mbona hamlisemi..??muachenii Zama kwa raha zakee...
Utafiti not necessarily mkoa.....
1. Nna baadhi ya kaka zangu waliozalisha na kuacha na wanawake wao wameolewa
2. Watu waliozaa enzi tupo elimu za chini wameolewa na watu tofauti kabisa thou wengine kwa kubebwa
3. Vyuoni tunamosoma mix za watu ni nyingi sana so ni sehemu nimejifunza na kushuhudia mengi miaka 4 niliyokaa
5. Mitandaoni humu kuna wanawake wapambanaji tunawafollow single mothers to be specific wanatangaza ndoa zao tunaona.....
6. Nna cousin wangu mtu mzima sana tena yeye alijimix kwa mume wa mtu mwenye mgogoro na mkewe kazaa na mtoto.... kisicho ridhiki hakiliki kapoteza zaidi ya miaka 4 lakini at last ukaisha huyo yupo kwa mtu tofauti na mtoto wanafanya co patenting
N.B wote nilioexperience Mimi binafsi machoni mwa watu wanajipresent kama watu waliojutia makosa waliyopitia na wanaishi clean (hatujui ya nyuma ya pazia)
-kuna single mothers ukiwaona ni kichefu chefu mpaka unaona huruma kwa watoto waliowazaa sababu wapo more likely kaharibikiwa
-wengine ukiwaona wanavyojitambua unaishia kuomba Mungu abariki kazi za mikono yao na kizazi na kubwa mwisho wa siku wapate tulizo la moyo (love is b'ful blah blah za nna pesa sihitaji mapenzi ni sizitaki mbichi hizi moyoni wanaungulia)
 
Ila wanaume tuna tofautiana yaani kijana hata 40 haujafika unaoa mwanamke mwenye watoto 2 na mwanaume mwingine na unaamini ndoa itakua na furaha na amani, ana roho ngumu huyu dogo
True say aiseeeh self and I can't do so halafu unampga kanzuu nanii? Rugeyamu !hujipendi wewe utabutuliwa kama kawaidaa mpaka ufe
 
Ukiwa na ubongo wa kibunifu(Creative Mind) kama Ruge ni ngumu sana kuwa na mahusiano ya kudumu(Mke).
 
Huu Uzi nimeshangaa reaction ya wanaume, mnamshangaa huyo kaka kuoa mwanamke aliezaa, hao wanawake wenu mnaojitamba nao hawajazaa mnajua ni kina mama wa maiti ngapi?

Aisee am puzzled!!! Kumbe mnafurahia kuzalisha wadada na kuwasubirisha huku nyie mkiendelea na maisha?

Jamani mimi sijazalishwa ila ingekuwa nimezaa naishi na mme alafu haeleweki ningeolewa kimya kimya kama hivi zama wewe dada akili zako kama zangu....
Hahahaha sema wewe.... watoaji mimba siku hizi ni wengi, hapo kwenye kuacha tupo sawa....
Hata tuoane kwa style ipi tufike ndani ya ndoa uniletee figisu najikata mapema.
Wanawake wengine kama wamelogwa familia unalea wewe, mume malaya na kipondo unapokea cha maana ila mkiwa machoni pa watu fake faces mpaka basi na bado tu mtu kakomaa kama aliambiwa akiondoka anakufa.
Ndoa ni zaidi ya tuvionavyo na maisha ni kuishi na kuchagua
 
Usitake tuanze hio topic,unaijua JF fikaa...mwacheni Zama kwa raha zake..mmezoea tu wanawake kuvumilia BS, looks like times are changing very fast...
Silaha ni kuweza kujihudumia tu hata kwa mia 2 ndo kitu kikubwa ambacho wanawake wengi wa sasa wanacho plus wanaume pia baadhi priority zimechange kuwa na single mother sio ishu for as long as vigezo vingine amekidhi.... zamani familia nyingi mwanaume ndo kila kitu na binti akiangalia kurudi nyumbani hawezi kama sio uchumi mgumu basi tamaduni zimekaza mtu unakomaa.
 
Mazingira mkuu....mm nilishawahi fanya kazi kwa wahindi fulani hapo zamani....kuna jamaa ana mkewe anamleta na kumchukuwa jioni kwa gari binafsi..basi yule mdosi akawa anakula yule mkewe jamaa BUMUNDA ,,,duu..sometimes jamaa akimfata mkewe anaambiwa yupo Godown kupiga stock taking...kumbe mdosi yupo nae kwake anamla tu...jioni anamrudisha ofisini ,,anakuta mumewe anamsubiri...yaani roho ilikuwa inaniuma sn tu..nikisema nimshtue msela ...nahofia kibarua changu du...wake za watu kwa mabosi wao hawajawahi kubaki salama
Hahahaaa pole mkuu.
 
8ea58f02dfdee72728b2cf733ff49ed4.jpg

Haya sura ya bwana harusi hii hapa
 
Back
Top Bottom