Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 52,812
- 71,392
Wanaume wengine ni kanyaga twende tu..
Hongera Zamaradi
Hongera Zamaradi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mambo yote gym siku hizi.Kuna watu wana maumbo kama nyanya, wengine kama kitunguu. Hivyo, kuna mwingine hutamgundua kwa tumbo (flat), kwa boobs(hazilegei) wala chini hakujalegea. Huyo mpaka akwambie mwenyewe.
Mwanaume anayeweza kuhisi vimeliwa ni yule ambaye amewahi kugonga wote, waliozaa na ambao hawajazaa. Sasa kama una unyanyapaa kwa waliozaa huwezi kujua.
Hata hao wake wa mabosi wanabutuliwa na vijamaa hata kazi ya maana havina.. hapo ndio utajua dunia ni duaraMazingira mkuu....mm nilishawahi fanya kazi kwa wahindi fulani hapo zamani....kuna jamaa ana mkewe anamleta na kumchukuwa jioni kwa gari binafsi..basi yule mdosi akawa anakula yule mkewe jamaa BUMUNDA ,,,duu..sometimes jamaa akimfata mkewe anaambiwa yupo Godown kupiga stock taking...kumbe mdosi yupo nae kwake anamla tu...jioni anamrudisha ofisini ,,anakuta mumewe anamsubiri...yaani roho ilikuwa inaniuma sn tu..nikisema nimshtue msela ...nahofia kibarua changu du...wake za watu kwa mabosi wao hawajawahi kubaki salama
Kama hamjui mbona unasema wameachana?Hatujui sura imefichwa tutaujua ukweli
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] wewe mshikaji umenichekesha ujueKwani huyo jamaa hapo sio kamanda Ruge?
Duh!,PM ana mtoto mkubwa hivi.Za kunyapianyapia ni mtoto wa Kasim Majaliwa
Utafiti not necessarily mkoa.....Ruge kutooa miaka nenda rudi mbona hamlisemi..??muachenii Zama kwa raha zakee...
True say aiseeeh self and I can't do so halafu unampga kanzuu nanii? Rugeyamu !hujipendi wewe utabutuliwa kama kawaidaa mpaka ufeIla wanaume tuna tofautiana yaani kijana hata 40 haujafika unaoa mwanamke mwenye watoto 2 na mwanaume mwingine na unaamini ndoa itakua na furaha na amani, ana roho ngumu huyu dogo
Hahahaha sema wewe.... watoaji mimba siku hizi ni wengi, hapo kwenye kuacha tupo sawa....Huu Uzi nimeshangaa reaction ya wanaume, mnamshangaa huyo kaka kuoa mwanamke aliezaa, hao wanawake wenu mnaojitamba nao hawajazaa mnajua ni kina mama wa maiti ngapi?
Aisee am puzzled!!! Kumbe mnafurahia kuzalisha wadada na kuwasubirisha huku nyie mkiendelea na maisha?
Jamani mimi sijazalishwa ila ingekuwa nimezaa naishi na mme alafu haeleweki ningeolewa kimya kimya kama hivi zama wewe dada akili zako kama zangu....
Silaha ni kuweza kujihudumia tu hata kwa mia 2 ndo kitu kikubwa ambacho wanawake wengi wa sasa wanacho plus wanaume pia baadhi priority zimechange kuwa na single mother sio ishu for as long as vigezo vingine amekidhi.... zamani familia nyingi mwanaume ndo kila kitu na binti akiangalia kurudi nyumbani hawezi kama sio uchumi mgumu basi tamaduni zimekaza mtu unakomaa.Usitake tuanze hio topic,unaijua JF fikaa...mwacheni Zama kwa raha zake..mmezoea tu wanawake kuvumilia BS, looks like times are changing very fast...
Duh,mkuu umesisitiza sana Mkuyenge kibiriti,are speaking from experience?Na siku zote penye ' Mkuyenge Kibiriti ' huwa hakuna furaha.
Hahahaaa pole mkuu.Mazingira mkuu....mm nilishawahi fanya kazi kwa wahindi fulani hapo zamani....kuna jamaa ana mkewe anamleta na kumchukuwa jioni kwa gari binafsi..basi yule mdosi akawa anakula yule mkewe jamaa BUMUNDA ,,,duu..sometimes jamaa akimfata mkewe anaambiwa yupo Godown kupiga stock taking...kumbe mdosi yupo nae kwake anamla tu...jioni anamrudisha ofisini ,,anakuta mumewe anamsubiri...yaani roho ilikuwa inaniuma sn tu..nikisema nimshtue msela ...nahofia kibarua changu du...wake za watu kwa mabosi wao hawajawahi kubaki salama
Inaonyesha tu imepigwa kwa WIZI...![]()
Haya sura ya bwana harusi hii hapa
Ujui kuwa mapenzi ni ujinga?Ujinga wa kiwango cha lami. Vijana wengi wanatafuta umaarufu kwa watu maarufu