Zamaradi ambwaga Bosi wa Clouds, aolewa na mwanaume mwingine!!

Zamaradi ambwaga Bosi wa Clouds, aolewa na mwanaume mwingine!!

Ila wanaume tuna tofautiana yaani kijana hata 40 haujafika unaoa mwanamke mwenye watoto 2 na mwanaume mwingine na unaamini ndoa itakua na furaha na amani, ana roho ngumu huyu dogo
Viuno kaka,hii habari isikie kwa mwingine tu
 
Huyu alitaka mkazaji aliyeharalushwa kesha choka kukazwa kizambi zambi
 
Sasa ruge kaz yake n kupasha
tu kiporo Kwa sasa
 
Baadhi ya wanaume humu mnashangaza. Au sijui hamjiamini.dunia ya sasa imebadilika eti huwezi kuoa mwanamke mwenye mtoto. Kweli challenge zipo ila hao wanakuwa wanajitambua.sasa wengine mnavyowazalisha ina maana ndio furaha yenu ndio wakae tu hivyo hivyo? Dunia ya sasa imebadilika.kwanza wanawake siku hizi wanajishuhulisha. Na single mother wengi tu wanaolewa tena.

Kila mtu anachaguo lake, na hii Dunia ikibadilika sawa tu. Single mother hata awe anajishughulisha vipi, hizo ni shughuli zake mi azinisaidii kitu. We kama unaweza chukua mzigo tu.
 
Ila wanaume tuna tofautiana yaani kijana hata 40 haujafika unaoa mwanamke mwenye watoto 2 na mwanaume mwingine na unaamini ndoa itakua na furaha na amani, ana roho ngumu huyu dogo
Me sidhani mwanamke mwenye watoto anadosari ya kutopata mtu mpya endapo akiachana na wa awali. Hivi nikupe mfano, uwe na dada yako ama mdogo wako wa kike, je akiachwa na mume wake aliyepata naye mtoto au watoto, hautajisikia vizuri pale atapotokea mwanaume mwingine na akaamua kufunga nae ndoa ili amtunze na kuishi naye kwa upendo kabisa na kuwa na familia yenye furaha?!

Usiwe mwepesi kuhukumu kabla haujatafakari scenario kiundani.
 
Wanaume wa kitanzania mnatia aibu...mwanamke akifanya maisha yake mkaona yanaenda sawa roho zinawauma mpk mnatia huruma! Mara kazaa mara mkubwa ! Wangap madada zenu wamezalishwa nyumbani na mnatamani wapate wenza wao? Ooh mara siwez kuoa mwanamke aliezaa aliyewaambia aliemuoa hana watoto ni nani? Na hata asingekua nao inawahusu? Yaone mmekalia umbea tu na kuumiza roho kwa vitu vicvyo na mcngi..nia yenu ni wanawake wateseke mbaki kuchekelea na kujiona wanaume! Zama hizo zishapita wanawake wameerevuka muda yaan unamwaga mboga wenyewe wanamwaga ugali habari za kubabaikia wanaume mataira hazipo tena! Na mtaumia roho sana mwaka huu! Tena wengine mnakazana kuropoka wakati ni watoto wa nje ya ndoa..km sio mama zenu walizalishwa na kuachwa wakalea wenyewe..mnataka mama zenu wadhihakiwe pia? Shwain kabisa nyinyi akili zote mmezimalizia chooni!
Umeongea jambo la msingi sana bi dada. Ila jaribu kutumia lugha ya staha kidogo na punguza ukali wa maneno. Hasira na jaziba hazijawahi muacha mtu yeyote salama.......cha muhimu ni ujumbe ufike basi na sio uzungumze kwa hasira.

Ila big up umezungumza bonge la fact nimekuelewa sana
 
Zama hongera umeamua kufanya Ibada kwa sisi waislam ndoa ni ibada.

Hapa kuna watu wamelelewa na baba wa kambo,wamesomeshwa na baba wa kambo,lkn sasa hv wanalaum Zama kuolewa sababu kazaa. Inshangaza

Siyo zambi kuowa mwanamke mwenye watoto hasa wanaume wa kule kusini alikotoka KM. Nimeishi kule mama mwenye watoto 6 anaolewa mchana kweupe na mwanaume anatunza tuu watoto hajali hata tone.

Furahia ndoa yako Ibada njema.
 
Me sidhani mwanamke mwenye watoto anadosari ya kutopata mtu mpya endapo akiachana na wa awali. Hivi nikupe mfano, uwe na dada yako ama mdogo wako wa kike, je akiachwa na mume wake aliyepata naye mtoto au watoto, hautajisikia vizuri pale atapotokea mwanaume mwingine na akaamua kufunga nae ndoa ili amtunze na kuishi naye kwa upendo kabisa na kuwa na familia yenye furaha?!

Usiwe mwepesi kuhukumu kabla haujatafakari scenario kiundani.
Tatizo tunapenda kupingana na ukweli! Kijana yeyote under 40 ambaye hajawahi kuoa wala kuwa na watoto kuoa mwanamke mwenye watoto 2 na baba wa hao watoto bado yupo around na anakuzidi kipato na bado anafanya kazi na mkeo, kutegemea furaha kwenye hiyo ndoa ni uzumbukuku! Zamaradi alitakiwa aolewe na mzee mwenye watoto kadhaa tena wengine wanalingana naye umri. Hata mimi angekua dada yangu ningemuozesha ila ningetaja mahari ndogo kwa sababu najua any day nitadaiwa. Nikuulize na wewe huyo dogo angekua kaka yako ungemshauri nini? Usijibu kinafiki
 
Back
Top Bottom