Zamaradi amewaza nini kumhoji Gigy Money?

Simply, ninapoangalia kipindi chochote na nikaona content ambayo mwandishi anamhoji mgeni ni ya hovyo, huwa inanipa reflection ya aina ya akili aliyonayo host wa kipindi husika!

Hii kansa ya kuendekeza umagharibi sana bila kuangalia context itatutafuna sana.By the way hii inatoa picha halisi ya matokeo ya elimu ya " hapa na pale"[emoji15]
 

wengi shule hawana na wakishaona wanatongozwa na vibosile sana baas wanahisi kwamba wao ni wazuri sana kuliko wenzao na kuanza kujiingiza kwenye uhuni au uuzaji wa madawa ya kulevya!
Mfano kina bnti video queen amepiga picha yuko chooni then akapost IG,HV bnt anaejua maadili atafanya hvyo?
Mara nyingi sana tena sana sisi wazazi wa kike wengi wetu ulezi unatushinda(I mean single parent)
wachache sana wamelewa na mama zao na wakawa vzr kimaadili!
Refer Lulu nk japo wapo wengine pia wamelelewa na baba au both parents Ila wamepinda pia but ni wachache mno!kulinganisha na hao wanaolelewa na mama!
Haswa aina za mama km kina gigy msingi kiuno!
 
Kweli hamjuo Klynn kwa kweli bora usingemiweka humo, yeye kuolewa na mzee haimaanoshi kakulia kama hao wengine...amekulia kitofauti sanaaaa hata kusoma, hata huyo gigi hamfikii 0.0005%
haaa!!we unamjua yule alivyokua anavizia madanga Kempinsiki ya kizungu!?
Ishu yake na kinje za kutoroka na kibabu cha kizungu?
aaahh!nimesahau bwana
Mi siongelei kuhusu kuolewa na Wazee au vp!!
 
Nadhani clouds wanatafuta base ya youtube followers kwenye hiki kipindi ndo maana wanawaweka watu kama hawa. Namna hii watapata wateja. Fursa hiyo
 
Kwa maana pana ni kuwa elimu ya kujitambua hawana ingawa suala la single parent lina nafasi lakini pana wengine wanatoka kwa wazazi wawili still wanakuwa na tabia za kibehemu behemu.Mkumbo wa umagharibi umetawala ndio wanaona usasa huo kuwa na mabwana 20 matumizi makubwa basi mnapangwa hapo yupo wa kulipia nywele mwingine wa kucha mwingine nyumba usimsahau wa kujaza gari mafuta yule wa luku basi foleni zaidi ya penye ATM.
 
Sikukiona hiki kipindi ila naweza kusema kwamba watanzania tunaishi kwa unafiki sana. Kungekuwa kuna maadili kama hayo watu wanoongelea basi ndoa zisingevunjika na watoto wa mitaani wanaotokana na misiguano ya kifamilia wasingekuwepo na pia wale makahaba wa barabarani wasingekuwepo maana wateja wao wangetoka wapi? Nimefuatilia comments zote naona ni unafiki unafiki tu. Watu ambao naona wana point za msingi nio wale wanaosema kwamba kipindi kingekuwa rated. Lakini the rest ni unafiki unafiki na kujifanya watakatifu huku wanafanyia mambo gizani. Anayofanya Gigy hayana tofauti na anayofanya mtu na familia yake anayeenda kutembeza dyudyu au papuchi huko nje kama ni ya jumuia ila ni wa kwanza kuwanyooshea vidole wengine kwamba ni malaya na makahaba. Hii naiita ni tabia ya unafiki. Taifa hili lingekuwa na maadili mambo mengi sana yangekuwa yanaenda vizuri..Tuacheni unafikii wa kujifanya sisi ni wasafi kumbe tunafanya machafu tukiwa gizani..
 

Hujui kwamba lengo la mtangazaji ni kupata hizo pumba? Kama mtangazaji anauliza pumba unategemea ajibiwe nini?
 
Vibinti Vingi role modes zao ni wema,wolper,nk uliza wana kazi gani hapa mjini!!
Msingi kiuno!wanaacha kusoma wanategemea power of pussy!
 

I may be everything you have said. I may be less knowledgeable than you. I may be sympathetic to such stupid things as you may say. I may be careless with what is shown to our kids. BUT all I am saying is... Refrain from judging people. Learn to accommodate those who are different from you. Learn to be tolerant. Learn to understand others. Learn to understand that you share this country with others so nothing entitles you to be sole custodian of what is right or wrong. Learn to know the source of the problem instead of closing your mind on flimsy excuses. Even if you cant help those you condemn.....then at least respect who they are. As long as they haven't broken any laws of the country which would put your lives or mine in jeopardy.

Hivi nikuulize, ikitokea mtoto wako au wangu wakawa involved na hivi vitendo vya kishoga..name them..what will you or I do? Mkuu watoto wanaokuwa mashoga..wana wazazi kama wewe na mimi au mwingine. Lets learn how to resolve these problems. Tutambue tatizo. Siyo kukimbia. I remember UKIMWI ulivyoanza hata kutaja kama mtu anaumwa UKIMWI ilikuwa ni aibu.....where are we today??

I don't endorse what Gigy Money may be doing. But we live in generation T. Our society has so much problems and we don't solve most of them because we HATE TO KNOW THE TRUTH/SOURCE OF THESE PROBLEMS.

Masanja.
 
Isije ikawa na mimi kanitaja!!! πŸ˜‰πŸ˜‰πŸ˜‰πŸ˜‰πŸ˜‰πŸ˜‰πŸ˜‰πŸ˜‰πŸ˜‰
 
Vibinti Vingi role modes zao ni wema,wolper,nk uliza wana kazi gani hapa mjini!!
Msingi kiuno!wanaacha kusoma wanategemea power of pussy!

Na role models wa Wema na Wolper ni akina nani?

Wema nishawahi kumsikia kabisa akisema kuwa role model wake ni Kim Kardashian.

Claim to fame ya Kim Kardashian unaijua?

Na kipindi cha The Kardashians kinaonyeshwa Tanzania?
 
Namuomba Mungu sana kwa hilo!!!
Yule binti mtu wa kwanza kulaumiwa ni mama yake kwa kutomfundisha neno la Mungu akaliogopa na kuliheshimu!
Na mama yake mtu wa kwanza kulaumiwa anapaswa kua mama yake, na mama yake na mama yake alie mzaa mama wa mama yake ambae ni bibi yake ... And the list goes on
 

Very ackward.........hapo utakuta Abdul Kiba hakumuambia Ally Kiba kua na yeye alipita kwa gigy!!
 
So sio tena strengths of the women's ila ni strengths of the Papuchi?
ndo maana ake wachache sana km jokate,Irene kiwia,Imelda,mwamvita etc ndo wako hvyo Ila hawa wafanya show off za kwenye IG wengi wauza nyapu kwa kivuli cha usanii uchwara
 
ndo maana ake wachache sana km jokate,Irene kiwia,Imelda,mwamvita etc ndo wako hvyo Ila hawa wafanya show off za kwenye IG wengi wauza nyapu kwa kivuli cha usanii uchwara
Jokate?πŸ™
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…