hahahaaaaaahahaaa!!!Wauzaji in the name of usanii? labda nayo ni sanaa
eeehhh!bora yake jokate!Jokate?π
Hii ni take one new chapter, watu hawapendi kusikia ukweli ndio maana mnajikuta mnaponda kila kitu, umeshajiuliza kuna gigy wangap mtaani? Na wanatakiw kusaidiw mapema il wawe sawa? Suala la malezi pia huoni ni tatizo? Vipind vyote mnatak viwe taarifa ya habar au? Kila kitu Una mda wake km anakuboa kaangalie TBCHuyu Zamaradi mbona anavua maana ya kipindi chake???
Nilijua Take One ni kipindi kinachohusu masuala yote ya filamu na wana filamu, siku hizi imekua tofauti anahoji watu tofauti na tasnia hiyo, na hata wenye tasnia hiyo pia wakihojiwa ni maisha yao binafsi na sio kuhusu biashara zao.
Je ni kukosa ubunifu? Hakuna tena kazi za wasanii wa filamu? au maudhui ya kipindi yamebadilika ila jina ni lile lile?
Na mama yake mtu wa kwanza kulaumiwa anapaswa kua mama yake, na mama yake na mama yake alie mzaa mama wa mama yake ambae ni bibi yake ... And the list goes on
Cha kushangaza clouds media wamempa ajira huyu gigy malaya eti mtangazaji wa choice fm inayomilikiwana clouds media duuuuuuuuuui. Kweli hii kazi sasa harafu anasema anapenda kuwa maarufu that's y anapiga picha za ajabu ajabu ili apate kick town..... Wenzie wanatafuta stata yeye anatafuta kick
Labda anayehojiwa naye ni poyoyo anadhani kutaja me wengi aliolala nao ni sifa wakati ni ufala na kuharibu maadili ya jamiiexactly ....shida hii nchi sheria hazifuatwi
anamlazimisha huyu dada ataje wanaume wote aliotembea nao
as if ni sifa
nchi zingine angeshtakiwa na kipindi kupigwa faini
Lahasha mkuu tatizo presenter lazima awe nimtu mwenye kujiheshimu coz jamii ina mtazama na kumuangalia pia so anapo weka wazi mambo yake kwa media kwamba yeye yupo tayari kulala na mtu yeyote atakaye mp dau la kueleweka hii nini maana yake kwa mfano. Je huyu anafaa kuwa kioo cha jamii? Au hizi ndio sifa za presenter mzuri? That's y ni kasema hakustahili hata kupata kazi anayoifanya. Bola angeenda pale uwanja wa fisi awe official...... Tujuwe mojaWhy are you so judgmental?
Kwani huyo Gigy hastahili kupata riziki yake iliyo halali?
Lahasha mkuu tatizo presenter lazima awe nimtu mwenye kujiheshimu coz jamii ina mtazama na kumuangalia pia so anapo weka wazi mambo yake kwa media kwamba yeye yupo tayari kulala na mtu yeyote atakaye mp dau la kueleweka hii nini maana yake kwa mfano. Je huyu anafaa kuwa kioo cha jamii? Au hizi ndio sifa za presenter mzuri? That's y ni kasema hakustahili hata kupata kazi anayoifanya. Bola angeenda pale uwanja wa fisi awe official...... Tujuwe moja
ππππ Mkuu umepiga UCHUMI nn?Uyu Giggy anatakiwa apewe machine ya EFD
ππππ Mkuu umepiga UCHUMI nn?
πππ Hapa TRA watolee macho pana nanma[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]EGM
πππ Hapa TRA watolee macho pana nanma