Zamaradi amewaza nini kumhoji Gigy Money?

Zamaradi amefanikiwa kwa kuhakikisha kipindi chake kinaangaliwa na watu wengi.
 
Jiulize kwanza wewe unatafuta nini clouds na haswa ktk hicho kipindi??
 
Na role models wa Wema na Wolper ni akina nani?

Wema nishawahi kumsikia kabisa akisema kuwa role model wake ni Kim Kardashian.

Claim to fame ya Kim Kardashian unaijua?

Na kipindi cha The Kardashians kinaonyeshwa Tanzania?
huyo wema kujifanya Kim K sishangai mana Kim kashakuaga na sex tape na Ray J!
Wema nae ukiacha umiss skendo za ngono ndo zimembeba sana!
 
Na mama yake mtu wa kwanza kulaumiwa anapaswa kua mama yake, na mama yake na mama yake alie mzaa mama wa mama yake ambae ni bibi yake ... And the list goes on
Ukute bibi mzaa mama wa gigy was good person Ila ndo wale wamama au watoto wanaoamua kupinda tu wenyewe mana wapo wanaolelewa na both parents kama kina wolper au wema na kina uwoya bado wakapinda pia!
Na huyu mama mtu wa gigy km nliskia vzr alikua mcheza show enzi hizo!Just imagine...!!!
 
Atakua aliwaza WAZO.
 
Sina tatizo na Zama kuhusu watu wake anaowahoji, awahoji mashoga, makahaba, majambazi, mafisadi, wala rushwa, hilo ni juu yake,

Kero yangu ni kua mbona maudhui ya kipindi chake na watu anaowahoji haviendani??

Kipindi chahusu filamu na wana filamu, sasa tunaoletewa sio hao, hapo ndio sijaelewa kwanini.

Ushauri wangu, kama ameamua kudili na mambo tofauti na filamu angebadili jina la kipindi au atengeneze kipindi kingine kitakachoendana na watu anaowahoji.

Mfano kipindi cha Mkasi, sitashangaa Salama akimuhoji Gigy au zaidi ya Gigy,
Ila nitapigwa na butwaa kama nikimkuta Gigy anahojiwa kwenye kipindi cha dakika 45,

Natumai umenipata.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…