Asingekua kwenye nini.?Gigy anavunja ndoa za watu[emoji28][emoji28]
Eti asingekuwa kwenye.......... Angepiga Harmonize [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hua anawahoji nini.?!Ikifika issue za mahojiano na celebrities ninamkubali Salama Jabir.
Hata Mimi nawashangaa Watu kusema angeshtakiwa kwa lipi..Halafu Stations zoote mkakodoa macho hapohapo which means mnapenda izo mambo..Na kila siku hamuishi.kumuongelea huyo Gigy Sasa si Afadhari mumjue Background yake then muanze kumjudge...Eti Ashtakiwe..nanyi mshtakiwe kwa kuachana TV Station zoote Na kuganda hapo.Mambo mnayapenda mnakuwa kutuzuga hapa.Angeshitakiwa kwa kosa gani?
Na ni nchi gani hizo ambako huyo Zamaradi angeshitakiwa na kupigwa faini?
Anasema walishaingia room na harmonize ila anasikitika alishindwa kumpa mbunyenye kwakuwa alikua kwenye period.Asingekua kwenye nini.?
JFAnasema walishaingia room na harmonize ila anasikitika alishindwa kumpa mbunyenye kwakuwa alikua kwenye period.
Haha nilizima na Tv sijui hata walimalizejeila mleta thread upo active balaa hukutaka hata kipindi kiishe ndo ushushe uzi wako. ANYWAY MI NAONA TANGU BIBIE AJULIKANE ANATOKA NA MKURUGENZI NAHISI HAKUNA ANAYEMWAMBIA KITU TENA. NAHISI HATA AMEKABIDHIWA UMENEJA WA UANDAAJI VIPINDI MJENGONI.
WANAWAKE HAWA!!!!!!!!!!!!
TUMEWAPA WENYEWE USAWA
Hahahahaaaaa!!!! Mkuu umetisha[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Uyu Giggy anatakiwa apewe machine ya EFD
Huyo sio yeye,Huyu gigy mwenyewe hakika akili yake anayo yakuvuka barabara tu....sasa anashangaa nini baba ake kumkataa toka tumboni wakat anasema kwao kila mtu ana baba ake...yaan badala yakumshangaa nakumchukia mama ake anashangaa matokeo...kimsingi hili ndo taifa lililopo tanzania...wale ambao wanaitwa kioo cha jamii akili zao ndo hizi fuse zimeungua....
Uliwahi kuangalia mkasi na bado unaendelea kuangalia mkasi!? Ni interview mbili tu alifanya vizuri nazo ni ya Mo Dewji na Zitto Kabwe zingine zote zilikua udaku tu. Binafsi niliacha kuangalia sikuona la maana zaidi ya umbea na udaku, but nadhani ndicho watanganyika wengi wapendacho kusikia.Ikifika issue za mahojiano na celebrities ninamkubali Salama Jabir.
Haha nilizima na Tv sijui hata walimalizeje
Supu ya nin mkuu?Hivi hao waliomtumia walikunywa supu kweli?
Binafsi sina tatizo na Cloudz, ila Zamaradi sikuhizi anajishushia hadhi sana, aina ya watu anaowahoji lazima ushangae lengo lake hasa ni niniHivyo vitimbi na vituko vya clouds hua navikutaga humu,mnalazimishwa kuangalia hiyo tv uchwara?