Zamaradi amewaza nini kumhoji Gigy Money?

Zamaradi amewaza nini kumhoji Gigy Money?

Angeshitakiwa kwa kosa gani?

Na ni nchi gani hizo ambako huyo Zamaradi angeshitakiwa na kupigwa faini?
Hata Mimi nawashangaa Watu kusema angeshtakiwa kwa lipi..Halafu Stations zoote mkakodoa macho hapohapo which means mnapenda izo mambo..Na kila siku hamuishi.kumuongelea huyo Gigy Sasa si Afadhari mumjue Background yake then muanze kumjudge...Eti Ashtakiwe..nanyi mshtakiwe kwa kuachana TV Station zoote Na kuganda hapo.Mambo mnayapenda mnakuwa kutuzuga hapa.
 
ila mleta thread upo active balaa hukutaka hata kipindi kiishe ndo ushushe uzi wako. ANYWAY MI NAONA TANGU BIBIE AJULIKANE ANATOKA NA MKURUGENZI NAHISI HAKUNA ANAYEMWAMBIA KITU TENA. NAHISI HATA AMEKABIDHIWA UMENEJA WA UANDAAJI VIPINDI MJENGONI.

WANAWAKE HAWA!!!!!!!!!!!!
TUMEWAPA WENYEWE USAWA
Haha nilizima na Tv sijui hata walimalizeje
 
Huyu gigy mwenyewe hakika akili yake anayo yakuvuka barabara tu....sasa anashangaa nini baba ake kumkataa toka tumboni wakat anasema kwao kila mtu ana baba ake...yaan badala yakumshangaa nakumchukia mama ake anashangaa matokeo...kimsingi hili ndo taifa lililopo tanzania...wale ambao wanaitwa kioo cha jamii akili zao ndo hizi fuse zimeungua....
Huyo sio yeye,

Kinachomsumbua ni rejection na roho chafu za ukahaba.

Sio akili yake, hayo yote anayotenda sio akili yake., ni ile nguvu chafu inayotenda kazi ndani yake.

Na hio hua ni ya kuridhi (inakua ni laana ya familia) ndio unakuta inafuatilia kizazi hata kizazi.

Ni mpaka wawe tayari, ndio they can be Delivered na kuishi maisha ya Amani.
 
Nafikiri elimu ndio tatizo kwa baadhi ya watangazaji, mtangazaji anayetaka kukuwa katika career yake hawezi kufanya mahojiano na watu wenye mambo yasiyofaa.
 
Ikifika issue za mahojiano na celebrities ninamkubali Salama Jabir.
Uliwahi kuangalia mkasi na bado unaendelea kuangalia mkasi!? Ni interview mbili tu alifanya vizuri nazo ni ya Mo Dewji na Zitto Kabwe zingine zote zilikua udaku tu. Binafsi niliacha kuangalia sikuona la maana zaidi ya umbea na udaku, but nadhani ndicho watanganyika wengi wapendacho kusikia.
 
NINGEMUONA KICHAA ZAIDI ANGESEMA AMETOKA NA MZEE MUTAHABA . MAANA PALE HUPEW AIRTIME MPAKA UTOE NASIKIA KAPEWA KIPINDI CHOICE FM STATION YA BWANA MUZEE TENA CHA USIKU AWE MPINZANI WA DIVA NA LEMUTUZ
 
Haha nilizima na Tv sijui hata walimalizeje

ungechelewa kidogo tu ningeandika mm maana nilitaka niimalize then niandae uzi.
ILA KUNAPARTY AMESIKITISHA ANADAI ALILALA NA PEDESHEE AMSAIDIE MAMA AKE PESA ZA MKOPO
 
Hivyo vitimbi na vituko vya clouds hua navikutaga humu,mnalazimishwa kuangalia hiyo tv uchwara?
Binafsi sina tatizo na Cloudz, ila Zamaradi sikuhizi anajishushia hadhi sana, aina ya watu anaowahoji lazima ushangae lengo lake hasa ni nini
 
Back
Top Bottom