Mkuu kuna mahali ulisema hawa video queens kukaa uchi ni kazi yao ,sasa apigwe fine kwa kipi wakati hao wanaume anaolazimishwa kuwataja ni sehemu ya maisha yake ??exactly ....shida hii nchi sheria hazifuatwi
anamlazimisha huyu dada ataje wanaume wote aliotembea nao
as if ni sifa
nchi zingine angeshtakiwa na kipindi kupigwa faini
Supu ni nini ?Hivi hao waliomtumia walikunywa supu kweli?
Upo seriuos nikutumie mkuumwenye namba za huyo Gigy aje dm fasta,nina video nataka kushoot
And the Next celebrity is Babu Keanu aka Lemutuzz View attachment 378779
Maajabu yanaendelea [emoji23] [emoji23]
Kosa ni kuhoji mashoga na malaya kwenye tv. Nchi ni Saudi Arabia .Angeshitakiwa kwa kosa gani?
Na ni nchi gani hizo ambako huyo Zamaradi angeshitakiwa na kupigwa faini?
Mkuu hapa sio marekani ambako maadili sio jambo lenye kuzingatiwa.Hapa ni Afrika, tuna maadili yetu ya kijamii ambayo hayakubali vitu kama hivi.Ndio maana ushoga na ndoa za jinsi mmoja ni jambo la kawaida huko uliko lakini kwa hapa Afrika hayo mambo hayakubaliki.Hahaaa hivi kabisa kuna watu na akili zao timamu wanachukulia maanani maneno yasemwayo na huyo Gigi Money?
Mke wangu na familia yangu sitaki wajue habari za maisha yangu binafsi? Sijakupata hapo.
Licha ya hivyo, kama anayeniienezea uzushi ni Gigi Money basi huyo ndo nitakayekula naye sahani moja. Si mwendesha kipindi.
Halafu, hivi watu mnataka hiyo Clouds au huyo Zamaradi awe msoma taarifa za habari tu?
Hayo mambo mengine ni burudani tu na kuangalia au kusikiliza ni hiari, si shurti.
Hupendi, badili stesheni.
Ila ukataji viuno kwa wanaume huko mavumbini kunakubalika eh?Mkuu hapa sio marekani ambako maadili sio jambo lenye kuzingatiwa.Hapa ni Afrika, tuna maadili yetu ya kijamii ambayo hayakubali vitu kama hivi.Ndio maana ushoga na ndoa za jinsi mmoja ni jambo la kawaida huko uliko lakini kwa hapa Afrika hayo mambo hayakubaliki.
nchi za kwenye rula ndizo anazoziongeleaAngeshitakiwa kwa kosa gani?
Na ni nchi gani hizo ambako huyo Zamaradi angeshitakiwa na kupigwa faini?
Kujitafutia sifa binafsi kwa mambo ya kipuuziNi vizuri Zamaradi akaliambia taifa madhumuni ya mahojiano anayoyafanya...
Kila kitu kina asili yake leo umenifumbua macho kwanini yuko hivyo alivyoHuyu gigy mwenyewe hakika akili yake anayo yakuvuka barabara tu....sasa anashangaa nini baba ake kumkataa toka tumboni wakat anasema kwao kila mtu ana baba ake...yaan badala yakumshangaa nakumchukia mama ake anashangaa matokeo...kimsingi hili ndo taifa lililopo tanzania...wale ambao wanaitwa kioo cha jamii akili zao ndo hizi fuse zimeungua....
Kahaba anajiuza anatoa kwa malipo, malaya yeye ni tabia yake tu kugawagawa... sasa ukaja kukuta ni KAHABA na wakati huohuo ni MALAYA ni shida sanaSamahani Mkuu,naomba tofauti Kati ya Malaya na Kahaba! Plz.
Au Kahaba anagawa mpaka 0713? Huku Malaya akigawa mbele tu kwa lengo LA kujipatia Riziki?
Hii lazima niangalieAnd the Next celebrity is Babu Keanu aka Lemutuzz View attachment 378779
Maajabu yanaendelea [emoji23] [emoji23]
Mwananchi wa kawaida angalia sizi kitaa kila cku sa kumi na Mbili yeye ndo ana host kile kipnd nimeshangaaa kuckia gigy money kamtaja kwenye orodha ya aliotoka naoHivi Casto Dickson ni yupi vile!??