Hahaaa hivi kabisa kuna watu na akili zao timamu wanachukulia maanani maneno yasemwayo na huyo Gigi Money?
Mke wangu na familia yangu sitaki wajue habari za maisha yangu binafsi? Sijakupata hapo.
Licha ya hivyo, kama anayeniienezea uzushi ni Gigi Money basi huyo ndo nitakayekula naye sahani moja. Si mwendesha kipindi.
Halafu, hivi watu mnataka hiyo Clouds au huyo Zamaradi awe msoma taarifa za habari tu?
Hayo mambo mengine ni burudani tu na kuangalia au kusikiliza ni hiari, si shurti.
Hupendi, badili stesheni.