Zamaradi amewaza nini kumhoji Gigy Money?

Zamaradi amewaza nini kumhoji Gigy Money?

exactly ....shida hii nchi sheria hazifuatwi
anamlazimisha huyu dada ataje wanaume wote aliotembea nao
as if ni sifa
nchi zingine angeshtakiwa na kipindi kupigwa faini
Mkuu kuna mahali ulisema hawa video queens kukaa uchi ni kazi yao ,sasa apigwe fine kwa kipi wakati hao wanaume anaolazimishwa kuwataja ni sehemu ya maisha yake ??
 
And the Next celebrity is Babu Keanu aka Lemutuzz
1470779369571.jpg

Maajabu yanaendelea [emoji23] [emoji23]
 
Utandawazi umekuwa kwa mapana sana katika nchi yetu na nchi za africa kwa ujumla. Kipindi nimekiangalia na Zamaradi yupo best sana katika kuuliza maswali kwa kuutafuta undani.

Masupastaa wetu sasa hivi wengi wao wanaweka maisha yao hadharani ili kuongeza umaarufu, kupata kick au kuwa mfano katika jamii inayomzunguka ili watu(mashabiki) wapate kujifunza kupitia mafanikio yake.

Mengine ni ya kibinadamu na vile mtu anavyoishi maisha yake binafsi, mengine inabidi iwe ni siri binafsi haipendezi kuzungumzwa hadharani kwa tamaduni zetu japo kwa wenzetu wazungu ni mambo ya kawaida sana

Kuna mambo ma3 nimestaajabu sana amezungumza Gigy Money
1. Amesema ametembea na Abdu Kiba na Ali kiba (ndugu wa damu moja), la kushangaza Alikiba alijua kuhusu mdogo wake lkn akamchukua na yeye na mdogo mtu anamuheshimu anamuita shemeji.
2. Wakati mwingine hajiskii raha kama hajatukanwa kwa hiyo anapiga picha ya nusu utupu aweke mtandaoni.
3. Lawama la malezi amejifunza au kuyatoa kwa mama, wakati mwingine anambadilikia au hamsikilizi anaweka headphone maskioni au kuweka siri hadharani ya kufanya mapenzi kumsaidia mama yake kulipa deni la 50,000.

Maisha ya usupastaa yana changamoto nyingi katika safari hiyo unapitia mabaya na mazuri. Unapokuwa kioo cha jamii weka wazi yale mazuri watu wajifunze kupitia kwako mengine yabakie siri hasa ukijua yataiumiza ka kuipotosha jamii.
 
Hahaaa hivi kabisa kuna watu na akili zao timamu wanachukulia maanani maneno yasemwayo na huyo Gigi Money?



Mke wangu na familia yangu sitaki wajue habari za maisha yangu binafsi? Sijakupata hapo.

Licha ya hivyo, kama anayeniienezea uzushi ni Gigi Money basi huyo ndo nitakayekula naye sahani moja. Si mwendesha kipindi.

Halafu, hivi watu mnataka hiyo Clouds au huyo Zamaradi awe msoma taarifa za habari tu?

Hayo mambo mengine ni burudani tu na kuangalia au kusikiliza ni hiari, si shurti.

Hupendi, badili stesheni.
Mkuu hapa sio marekani ambako maadili sio jambo lenye kuzingatiwa.Hapa ni Afrika, tuna maadili yetu ya kijamii ambayo hayakubali vitu kama hivi.Ndio maana ushoga na ndoa za jinsi mmoja ni jambo la kawaida huko uliko lakini kwa hapa Afrika hayo mambo hayakubaliki.
 
Mkuu hapa sio marekani ambako maadili sio jambo lenye kuzingatiwa.Hapa ni Afrika, tuna maadili yetu ya kijamii ambayo hayakubali vitu kama hivi.Ndio maana ushoga na ndoa za jinsi mmoja ni jambo la kawaida huko uliko lakini kwa hapa Afrika hayo mambo hayakubaliki.
Ila ukataji viuno kwa wanaume huko mavumbini kunakubalika eh?

Na mlivo mahiri...wanaume mnakata viuno bila hata kujifunga vibwebwe!

Ndo maana hata sioni tofauti kati ya Shilole kiuno na Ali Kiba!

[emoji107] [emoji107] [emoji107] [emoji107]
 
Huyu Zamaradi mbona anavua maana ya kipindi chake???
Nilijua Take One ni kipindi kinachohusu masuala yote ya filamu na wana filamu, siku hizi imekua tofauti anahoji watu tofauti na tasnia hiyo, na hata wenye tasnia hiyo pia wakihojiwa ni maisha yao binafsi na sio kuhusu biashara zao.

Je ni kukosa ubunifu? Hakuna tena kazi za wasanii wa filamu? au maudhui ya kipindi yamebadilika ila jina ni lile lile?
 
Huyu gigy mwenyewe hakika akili yake anayo yakuvuka barabara tu....sasa anashangaa nini baba ake kumkataa toka tumboni wakat anasema kwao kila mtu ana baba ake...yaan badala yakumshangaa nakumchukia mama ake anashangaa matokeo...kimsingi hili ndo taifa lililopo tanzania...wale ambao wanaitwa kioo cha jamii akili zao ndo hizi fuse zimeungua....
Kila kitu kina asili yake leo umenifumbua macho kwanini yuko hivyo alivyo
 
Samahani Mkuu,naomba tofauti Kati ya Malaya na Kahaba! Plz.

Au Kahaba anagawa mpaka 0713? Huku Malaya akigawa mbele tu kwa lengo LA kujipatia Riziki?
Kahaba anajiuza anatoa kwa malipo, malaya yeye ni tabia yake tu kugawagawa... sasa ukaja kukuta ni KAHABA na wakati huohuo ni MALAYA ni shida sana
 
Hivi Casto Dickson ni yupi vile!??
Mwananchi wa kawaida angalia sizi kitaa kila cku sa kumi na Mbili yeye ndo ana host kile kipnd nimeshangaaa kuckia gigy money kamtaja kwenye orodha ya aliotoka nao
 
Back
Top Bottom